'Pubic hair' sio uchafu

Napenda mwanaume mwenye ndevu ila zipunguzwe aonekane smart, sijasema sipendi ndevu kabisa.
Ningeshangaa,
Mwanaume nakuaje bila ndefu,
Tutatofautiana vipi kama wote vipara videvuni[emoji4]
 
Ningeshangaa,
Mwanaume nakuaje bila ndefu,
Tutatofautiana vipi kama wote vipara videvuni[emoji4]
Ndevu muhimu sana, bila ndevu mwanaume unakua huna tofauti na yai.
 
Aah wee mm najitahidi kuvaa pichu nzuri muda wote na kushave huko ndani, sisubiri had kuonana na baby. Nikianguka jeeπŸ˜‚ pichu ina matobo hapana aisee.
Kelsea ndo mnavosemaga alaf badae utaskia sasa sikua na game kiwanja cha nini?
 
Chanzo cha kunuka kikwapa ni hayo manywele.
 
Vijana watahitaji link ya hiyo clip
 
Kwendra huko...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…