'Pubic hair' sio uchafu

'Pubic hair' sio uchafu

Napenda mwanaume mwenye ndevu ila zipunguzwe aonekane smart, sijasema sipendi ndevu kabisa.
Ningeshangaa,
Mwanaume nakuaje bila ndefu,
Tutatofautiana vipi kama wote vipara videvuni[emoji4]
 
Aah wee mm najitahidi kuvaa pichu nzuri muda wote na kushave huko ndani, sisubiri had kuonana na baby. Nikianguka jee😂 pichu ina matobo hapana aisee.
Kelsea ndo mnavosemaga alaf badae utaskia sasa sikua na game kiwanja cha nini?
 
Natumaini wadau wa JF mnafaidi mapumziko ya weekend bila stress!

Twende kwa mada! Ni hivi, baada ya kuangalia clip ya video fulani ya XXX nikaanza kusoma comment za wadau ambazo nashindwa kukubaliana nazo 💯/💯!

Kikubwa ninachotofautiana na wadau wengi ni kuyachukulia mavuzi (pubic hair) kama uchafu! .... NEHII! NO! HAPANA! YAAYA! Mavuzi kama mavuzi sio uchafu, bali ni CHACHANDU, ... Kinachomata ni usafi na utunzaji wa muhusika!

Mimi binafsi huwa sipendi mtu anayenyoa vuzi loote mpaka anakuwa kama kuku aliyenyonyolewa! 😅

MAONI YENU MUHIMU WADAU!
Chanzo cha kunuka kikwapa ni hayo manywele.
 
Natumaini wadau wa JF mnafaidi mapumziko ya weekend bila stress!

Twende kwa mada! Ni hivi, baada ya kuangalia clip ya video fulani ya XXX nikaanza kusoma comment za wadau ambazo nashindwa kukubaliana nazo [emoji817]/[emoji817]!

Kikubwa ninachotofautiana na wadau wengi ni kuyachukulia mavuzi (pubic hair) kama uchafu! .... NEHII! NO! HAPANA! YAAYA! Mavuzi kama mavuzi sio uchafu, bali ni CHACHANDU, ... Kinachomata ni usafi na utunzaji wa muhusika!

Mimi binafsi huwa sipendi mtu anayenyoa vuzi loote mpaka anakuwa kama kuku aliyenyonyolewa! [emoji28]

MAONI YENU MUHIMU WADAU!
Vijana watahitaji link ya hiyo clip
 
Hizi nywele zote kwanzia Ndevu, Armpits na Pubic hairs zina faida zake mwilini hasa Armpits na Pubic hair.

Pubic hair sio uchafu ila huonekana uchafu kwa sababu kuu mbili;-
1. Personal Preferences.
2. Your Partner's Preferences.

Faida za Pubic hair;-
-Reducing friction.
-Prevent bacteria and other microorganism from transmitting to others.
-Maintain the optimal temperature for the genitals region.
-Trapping pheromones.

so pamoja na wanaoona ni uchafu ila zijueni hiz ndio faida zake!
Kwendra huko...
 
Back
Top Bottom