Public health management

Yusuph p. Kisunzu

Senior Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
120
Reaction score
9
Habar wana jf Naomba kwa anayefahamu namna ya kujiunga na faculty hyo hapo juu ukiwa na Course yoyote ya afya ktk chuo cha Mzumbe University,hasa kwa Clinical Assistant(CA).
 
Ungeweza kugoogle website ya chuo ukaona kama wameandika. Binafsi sizijui.
Kila la kheri.
 
Habar wana jf Naomba kwa anayefahamu namna ya kujiunga na faculty hyo hapo juu ukiwa na Course yoyote ya afya ktk chuo cha Mzumbe University,hasa kwa Clinical Assistant(CA).
Nianze kwa kukufahamisha mosi,mzumbe hamna faculty kama hiyo inayoitwa public health management...mbili,kama ulikuwa unamaanisha bachelor degree na ukaiita faculty pia,hamna bachelor degree course kama hiyo inayoitwa public health management...tatu,ulichokuja kuuliza uku ni kwamba umekurupuka tuu na hauna full data kwanza kwa jina la kozi unayotaka kusoma....NIKUSAIDIAJE??mosi,bachelor degree course inayohusiana na health issues iliyoko mzumbe inaitwa HEALTH SYSTEM MANAGEMENT na naamini ulukuwa unaimaanisha hii..mbili,jinsi ya kujiunga na chuo kama direct entry i advise you to visit this site for more information nadhani nitakuwa nimekusaidia kwa kiasi flani..GOOD LUCKY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…