Yusuph p. Kisunzu
Senior Member
- Dec 21, 2012
- 120
- 9
Habar wana jf Naomba kwa anayefahamu namna ya kujiunga na faculty hyo hapo juu ukiwa na Course yoyote ya afya ktk chuo cha Mzumbe University,hasa kwa Clinical Assistant(CA).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nianze kwa kukufahamisha mosi,mzumbe hamna faculty kama hiyo inayoitwa public health management...mbili,kama ulikuwa unamaanisha bachelor degree na ukaiita faculty pia,hamna bachelor degree course kama hiyo inayoitwa public health management...tatu,ulichokuja kuuliza uku ni kwamba umekurupuka tuu na hauna full data kwanza kwa jina la kozi unayotaka kusoma....NIKUSAIDIAJE??mosi,bachelor degree course inayohusiana na health issues iliyoko mzumbe inaitwa HEALTH SYSTEM MANAGEMENT na naamini ulukuwa unaimaanisha hii..mbili,jinsi ya kujiunga na chuo kama direct entry i advise you to visit this site for more information nadhani nitakuwa nimekusaidia kwa kiasi flani..GOOD LUCKYHabar wana jf Naomba kwa anayefahamu namna ya kujiunga na faculty hyo hapo juu ukiwa na Course yoyote ya afya ktk chuo cha Mzumbe University,hasa kwa Clinical Assistant(CA).