PUBLIC NOTICE: Mch. Josephat Gwajima yupo anaendelea na maombi aliyotangaza Juni 1 - (7 days uninterrupted Fasting and prayers) toka 2 - 8/6/2025 !

PUBLIC NOTICE: Mch. Josephat Gwajima yupo anaendelea na maombi aliyotangaza Juni 1 - (7 days uninterrupted Fasting and prayers) toka 2 - 8/6/2025 !

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592
Watu wanauliza na ku - speculate Askofu Gwajima alipo na anafanya nini...

Wengine kina DC wa Ubungo mhuni Albert Msando wanadhani na kudai labda Mchungaji wetu kajificha eti kwa kuwaogopa polisi..

Anadai kama ana haki na yuko sahihi, basi ajitokeze na kueleza nini kimetokea hadi ikawa vile...

Bila shaka, huyu DC akili na ufahamu wake ni duni kabisa. Askofu aeleze nini cha ziada zaidi ya alichokieleza kuhusu utekaji na mauaji ya raia wasio na hatia unaofanywa na vyombo vyo dola...?

Lakini si mnataka kujua alipo? BasiJIBU NI HILI:

"..Askofu na mchungaji wetu Josephat Gwajima, kama alivyotangaza ktk ibada ya Jumapili ya tarehe 1/6/2025, yuko ndani ya ratiba yake ya MAOMBI YA SIKU 7 (uninterrupted seven days of fasting & prayers) kumwombea Mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Tundu Lissu, wenyeviti wa vyama vya siasa wote akiwemo wa CCM Bi Samia na kuombea taifa kwa ujumla ili Mungu ali - rehemu na kuliokoa toka mikononi mwa hayawani wanaoongoza sasa....

Maombi yalianza tarehe 2 hadi 8/6/2025 tutakapomaliza. Kwa kuwa shetani alidhani atatuzuia kwa mbinu ya kufunga kanisa, lakini tupo tunaendelea kila mtu nyumbani kwake au mahali pengine kila kikundi kinapokubaliana kukutana ili kuomba. Askofu na Mchungaji wetu yupo sehemu salama na hakuna mtu mwingine hususani polisi au DC Msando mwenye nia tofauti na kuomba anaruhusiwa kufika na kufanya any unnecessary interruption.


Kuanzia J'tatu tarehe 9/6/2025 au siku nyingine yoyote mbele, Askofu Josephat Gwajima wakati wa mchana kweupe, akiwa ameambatana na maaskofu wa makanisa mengine atasindikizwa kwenda mwenyewe kwenye ofisi ya aidha Mafwele (kiongozi wa watekaji) au kwa Afande Jumanne Muliro mwrnyewe RPC DSM, kusikiliza wana nini juu yake. Hivyo DC Msando atulize munkari, afanye kazi zake zingine kama anazo. Gwajima sio saizi yake, ataonana na waendesha malori, jets na garimoshi na sio waendesha bajaji na guta, kina DC Msando..."

Aidha ikumbukwe kuwa Mtumishi wa Yesu Kristo Mch Josephat Gwajima ni mwanadamu mwenye mwili wa kidunia anayeishi duniani ktk eneo na nchi inayoitwa Tanganyika mwenye nafasi mbalimbali za tawala za serikali za dunia hii; mfano yeye ni mbunge wa jimbo la Kawe na ktk chama chake cha CCM ni mNEC na Mjumbe wa mkutano mkuu....

Lakini lililo kuu zaidi ni kuwa, Ndugu Josephat Gwajima ni mtumishi wa Ufalme na mamlaka kuu zaidi kuliko falme na mamlaka za kidunia, yaani Ufalme na mamlaka ya kimbingu kama Mchungaji na mweneza habari njema, injili ya Yesu Kristo duniani, Askofu mkuu wa makanisa ya GCTC Tanzania na duniani kote. Kwa hiyo obligation ya kwanza ya Mch Gwajima ni kutii ratiba na maagizo ya mamlaka iliyo kuu zaidi, mamlaka iliyo juu ya serikali ya mbinguni. Tupo kwenye maombi ya kuitengeneza Tanzania , subirini, mtamwona kwa wakati uliokubalika na ulioamuliwa na Mungu mweyewe, si mnaotaka nyie maana imeandikwa👇🏻"


Mithali 22:3 SUV
"...... Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia....."
​

===============================================
NOTE:
Eti huyu DC Albert Msando ignorantly anataka Askofu Josephat Mathias Gwajima aache ratiba muhimu ya maombi atoke huko aliko aanze kurushana na kina Muliro na DC msando. Eti ili aeleze nini cha ziada kuhusu wao kina Msando kufunga kanisa kinyume cha sheria, kupiga waumini waliokuwa wakufanya ibada na kuzuia ibada ya kumwabudu Mungu wetu..?

DC Msando anachopaswa kujua ni kuwa, wao serikali ndo wanapaswa watoke wote kuanzia mwandishi wa karatasi ile iliyoitwa "barua ya kufuta usajili wa kanisa" na watekelezaji wa amri haramu yaani polisi waeleze nini kimetokea hadi kufanya ujinga huo...!

Askofu Gwajima, alishamaliza kusema yake kama alivyoelekezwa na mbingu. Akitokea tena, atakuja na ujumbe wa hatua za juu zaidi za kuchukua..
 
Mzee wa kupima oil miyeyusho sana, achana naye.
 
Watu wanauliza na ku - speculate Askofu Gwajima alipo na anafanya nini...

Wengine kina DC wa Ubungo mhuni Albert Msando wanadhani na kudai labda Mchungaji wetu kajificha eti kwa kuwaogopa polisi..

Anadai kama ana haki na yuko sahihi, basi ajitokeze na kueleza nini kimetokea hadi ikawa vile...

Bila shaka, huyu DC akili na ufahamu wake ni duni kabisa. Askofu aeleze nini cha ziada zaidi ya alichokieleza kuhusu utekaji na mauaji ya raia wasio na hatia unaofanywa na vyombo vyo dola...?

Lakini si mnataka kujua alipo? BasiJIBU NI HILI:

"..Askofu na mchungaji wetu Josephat Gwajima, kama alivyotangaza ktk ibada ya Jumapili ya tarehe 1/6/2025, yuko ndani ya ratiba yake ya MAOMBI YA SIKU 7 (uninterrupted seven days of fasting & prayers) kumwombea Mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Tundu Lissu, wenyeviti wa vyama vya siasa wote akiwemo wa CCM Chura Kiziwi na kuombea taifa kwa ujumla ili Mungu ali - rehemu na kuliokoa toka mikononi mwa hayawani wanaoongoza sasa. Maombi yalianza tarehe 2 hadi 8/6/2025 tutakapomaliza. Kwa kuwa shetani alidhani atatuzuia kwa mbinu ya kufunga kanisa, lakini tupo tunaendelea kila mtu nyumbani kwake au mahali pengine kila kikundi kinapokubaliana kukutana ili kuomba. Askofu na Mchungaji wetu yupo sehemu salama na hakuna mtu mwingine hususani polisi au DC Msando mwenye nia tofauti na kuomba anaruhusiwa kufika na kufanya any unnecessary interruption.

Kuanzia Jumatatu tarehe 9/6/2025, Askofu Josephat Gwajima wakati wa mchana kweupe, akiwa ameambatana na maaskofu wa makanisa mengine atasindikizwa kwenda mwenyewe kwenye ofisi ya aidha Mafwele (kiongozi wa watekaji) au kwa Afande Jumanne Muliro mwrnyewe RPC DSM, sura mbaya. Hivyo DC Msando atulize makalio chini, afanye kazi zingine. Gwajima sio saizi yake..."

Eti huyu DC anataka Askofu Josephat Mathias Gwajima aache ratiba muhimu ya maombi atoke huko aliko aanze kukurushana na kina Muliro na DC msando. Eti ili aeleze nini cha ziada kuhusu wao kina Msando kufunga kanisa kinyume cha sheria, kupiga waumini waliokuwa wakufanya ibada na kuzuia ibada ya kumwabudu Mungu wetu..?

Wao kina DC Msando ndo wanapaswa watoke wote kuanzia mwandishi wa karatasi ile na watekelezaji wa amri haramu yaani polisi waeleze nini kimetokea hadi kufanya ujinga huo...!
DC Msando si ndiye alimnyandua Giggy Money kwenye gari huku anajirekodi kisha kuirusha video yake. huyu hakustahili hata kuwa afisa mtendaji wa kijiji, ni mshenzi fulani hivi hana maadili
 
Jitu limeamua kushinda njaa mnaita maombi, Mungu hadhihakiwi, hata waganga wake tunawajua
 
Watu wanauliza na ku - speculate Askofu Gwajima alipo na anafanya nini...

Wengine kina DC wa Ubungo mhuni Albert Msando wanadhani na kudai labda Mchungaji wetu kajificha eti kwa kuwaogopa polisi..

Anadai kama ana haki na yuko sahihi, basi ajitokeze na kueleza nini kimetokea hadi ikawa vile...

Bila shaka, huyu DC akili na ufahamu wake ni duni kabisa. Askofu aeleze nini cha ziada zaidi ya alichokieleza kuhusu utekaji na mauaji ya raia wasio na hatia unaofanywa na vyombo vyo dola...?

Lakini si mnataka kujua alipo? BasiJIBU NI HILI:

"..Askofu na mchungaji wetu Josephat Gwajima, kama alivyotangaza ktk ibada ya Jumapili ya tarehe 1/6/2025, yuko ndani ya ratiba yake ya MAOMBI YA SIKU 7 (uninterrupted seven days of fasting & prayers) kumwombea Mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Tundu Lissu, wenyeviti wa vyama vya siasa wote akiwemo wa CCM Chura Kiziwi na kuombea taifa kwa ujumla ili Mungu ali - rehemu na kuliokoa toka mikononi mwa hayawani wanaoongoza sasa....

Maombi yalianza tarehe 2 hadi 8/6/2025 tutakapomaliza. Kwa kuwa shetani alidhani atatuzuia kwa mbinu ya kufunga kanisa, lakini tupo tunaendelea kila mtu nyumbani kwake au mahali pengine kila kikundi kinapokubaliana kukutana ili kuomba. Askofu na Mchungaji wetu yupo sehemu salama na hakuna mtu mwingine hususani polisi au DC Msando mwenye nia tofauti na kuomba anaruhusiwa kufika na kufanya any unnecessary interruption.


Kuanzia Jumatatu tarehe 9/6/2025, Askofu Josephat Gwajima wakati wa mchana kweupe, akiwa ameambatana na maaskofu wa makanisa mengine atasindikizwa kwenda mwenyewe kwenye ofisi ya aidha Mafwele (kiongozi wa watekaji) au kwa Afande Jumanne Muliro mwrnyewe RPC DSM, sura mbaya. Hivyo DC Msando atulize makalio chini, afanye kazi zingine. Gwajima sio saizi yake..."

Aidha ikumbukwe kuwa Mtumishi wa Yesu Kristo Mch Josephat Gwajima ni mwanadamu mwenye mwili wa kidunia anayeishi duniani ktk eneo na nchi inayoitwa Tanganyika mwenye nafasi mbalimbali mfano ubunge wa jimbo la Kawe na ktk chama chake cha CCM. Lakini pia Ndugu Josephat Gwajima ni mtumishi wa Ufalme na mamlaka kuu zaidi kuliko falme na mamlaka za kidunia, yaani Ufalme na mamlaka ya kimbingu kama Mchungaji na mweneza habari njema, injili ya Yesu Kristo duniani. Kwa hiyo obligation ya kwanza ya Mch Gwajima ni kutii ratiba na maagizo ya mamlaka iliyo kuu zaidi, mamlaka iliyo juu mbinguni. Tupo kwenye maombi ya kuitengeneza Tanzania , subirini, mtamwona kwa wa Mungu uliokubalika.."


Eti huyu DC anataka Askofu Josephat Mathias Gwajima aache ratiba muhimu ya maombi atoke huko aliko aanze kukurushana na kina Muliro na DC msando. Eti ili aeleze nini cha ziada kuhusu wao kina Msando kufunga kanisa kinyume cha sheria, kupiga waumini waliokuwa wakufanya ibada na kuzuia ibada ya kumwabudu Mungu wetu..?

Wao kina DC Msando ndo wanapaswa watoke wote kuanzia mwandishi wa karatasi ile na watekelezaji wa amri haramu yaani polisi waeleze nini kimetokea hadi kufanya ujinga huo...!
Gwajimanition imetoa nyoka wengi mapangoni na bado
 
Gwajima ameamua kuwachanganya kabisa policcm na chawa wote.
 
Back
Top Bottom