PUBLIC NOTICE: TRA has enhanced its website to align with current technological advancements

Kuna Watanzania hawapendi Kingereza jamani.

Kwa nini hampendi hii lugha ambayo hata nguli na mpenzi wa Kiswahili Alhaji Ali Hassan Mwinyi alisema ni "Kiswahili cha dunia" ?
Mimi mmoja wapo
 
mimi mbona sioni shida yoyote kwani lugha zote mbili zimetumika kuwafikia wenye kuzielewa ipo kwa kiswahili kama walivyofafanua na pia ipo kwa kizungu kama lilivyo
Hiyo ya Kiswahili wengine hationi na ndiyo maana kumeibuka malalamiko
 
We nae huna akili na bwege mmoja, usichukulie kila kitu siriazi fala wewe, humu mtandaoni sometimes kuna vitu ni kama joking na kufurahisha kijiwe bwege wewe.,,,,Pimbi shangazi yako,huna adabu kabisa.
 
Unajiona mzalendooo,ukute hata kodi yenyewe ulipi unamtia hasara shemeji yako tu .
 
TRA Tanzania niambieni mnachukua muda kufunga TIN namba ya mfanyabiashara aliyefirisika ??? Naona kama mnanipiga dana dana Ili mwakani mniletee Task force nyumbani.
 
Unajiona mzalendooo,ukute hata kodi yenyewe ulipi unamtia hasara shemeji yako tu .
Hii ndiyo shida kwako. Mimi nina masiha yangu sitegemei mtu zaidi ya Mungu. Na kama uzalendo ndiyo ni nchi yangu ulitaka nijenge wapi zaidi ya Tanzania?
 
Asante, tutaipitia tujifunze mambo mapya. Natumai mmezidi kupunguza uhitaji wa kukutana na maafisa, tumalizane na system.
Efd/Vfd ni electronic, Bank ni Electrilonic, mpesa, Yas mix zote ni electronic, tunaomba tusikutane na maafisa, angaleni turnover, mzunguko wa bank kama inaendana na self assessment. Tusikutane na maafisa.
Pamoja tuijenge nchi
 
Admin u.eamua ulog in kwa fekero utoe nyongo!!
 
Admin u.eamua ulog in kwa fekero utoe nyongo!!
sijaelewa unamaanisha nini? kwani kila anayejibu tofauti na maoni ya mtu humu ni admini? au kutofautiana maoni na hoja lazima uwe admini? Mimi ni mlipakodi kama wananchi wengine tu na jambi likinikera naliongea liwe postive au negative
 
Hawa jamaa ukienda ofisini kwao wana nyodo mno, wanajikuta sana hawa
 
Pelekeni hoja bungeni mpunguze kodi za magari,yani imekua anasa kumiliki gari nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…