Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mimi mmoja wapoKuna Watanzania hawapendi Kingereza jamani.
Kwa nini hampendi hii lugha ambayo hata nguli na mpenzi wa Kiswahili Alhaji Ali Hassan Mwinyi alisema ni "Kiswahili cha dunia" ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mmoja wapoKuna Watanzania hawapendi Kingereza jamani.
Kwa nini hampendi hii lugha ambayo hata nguli na mpenzi wa Kiswahili Alhaji Ali Hassan Mwinyi alisema ni "Kiswahili cha dunia" ?
Ujin♧a mtupu... Taasisi ya uma inatumia lugha ya kiswahil??? Mnawalenga walipa kodi gani? Ndio maana watanzania wanshindwa kuona umuhimu wa kodi. Ingekua kipindi cha tofali basi huyu afisa habari kashafukuzwa siku nyingi. Huku ni sawa na kuitia hasara serikali
Hiyo ya Kiswahili wengine hationi na ndiyo maana kumeibuka malalamikomimi mbona sioni shida yoyote kwani lugha zote mbili zimetumika kuwafikia wenye kuzielewa ipo kwa kiswahili kama walivyofafanua na pia ipo kwa kizungu kama lilivyo
Hujajibu swali.Mimi mmoja wapo
Timiona..!!Hiyo ya Kiswahili wengine hationi na ndiyo maana kumeibuka malalamiko
We nae huna akili na bwege mmoja, usichukulie kila kitu siriazi fala wewe, humu mtandaoni sometimes kuna vitu ni kama joking na kufurahisha kijiwe bwege wewe.,,,,Pimbi shangazi yako,huna adabu kabisa.acha upimbi wewe umeangalia uzi wote kuna ufafanuzi hapo umewekwa kuwa hii wamewekewa wale ambao hawajui kiswahili na hapo chini kaweka link kuwa lipo pia kwa kiswahili. Shida tunapenda sana kukosoa hii website tukumbuke kuna wawekezaji ambao hawajui kiswahili na nawanhitaji kupata taarifa za kutoka kwa zakayo sasa kama wewe kiswahili kina unakujua wameweka la kiswahili na kwa hao wenzetu lipo pia la kizungu ambalo ndiyo hili. Wangeweka yote mawili nayo naona ingekuwa shida kichwa cha habari wangetumia lugha ipi. Niwapongeze tra kwa kuonyesha pia kuwa mnajali wawekezaji wasiojua lugha ya kiswahili ili nao walipe kodi wasiwe na na sababu ya kusema hawajui taratibu sababu ya lugha.
Its' not enough to just let us know that there are improvements in TRA website, we would like to know what improvements were done on TRA website?
Unajiona mzalendooo,ukute hata kodi yenyewe ulipi unamtia hasara shemeji yako tu .acha upimbi wewe umeangalia uzi wote kuna ufafanuzi hapo umewekwa kuwa hii wamewekewa wale ambao hawajui kiswahili na hapo chini kaweka link kuwa lipo pia kwa kiswahili. Shida tunapenda sana kukosoa hii website tukumbuke kuna wawekezaji ambao hawajui kiswahili na nawanhitaji kupata taarifa za kutoka kwa zakayo sasa kama wewe kiswahili kina unakujua wameweka la kiswahili na kwa hao wenzetu lipo pia la kizungu ambalo ndiyo hili. Wangeweka yote mawili nayo naona ingekuwa shida kichwa cha habari wangetumia lugha ipi. Niwapongeze tra kwa kuonyesha pia kuwa mnajali wawekezaji wasiojua lugha ya kiswahili ili nao walipe kodi wasiwe na na sababu ya kusema hawajui taratibu sababu ya lugha.
Bado kidogo, unatakiwa uweze kutema slang kama za MaghayoHey nigga ,take a soft drink kwa Mangi ,Iam the one to pay .
Sema neno Kaka Chaliifrancisco nimeiprove au bado niendelee kuudhuria kwa Ras Simba ?
Hii ndiyo shida kwako. Mimi nina masiha yangu sitegemei mtu zaidi ya Mungu. Na kama uzalendo ndiyo ni nchi yangu ulitaka nijenge wapi zaidi ya Tanzania?Unajiona mzalendooo,ukute hata kodi yenyewe ulipi unamtia hasara shemeji yako tu .
Mimi hapa ni mlipa Kodi na mtanzaipnia halisia,naamini pia 95% ya walipa Kodi nchini mwetu ni watanzania na wanajua kiswahili vizuri,Sasa wewe kuleta tangazo Kwa kingereza ambayo hadhira yake 5% ni matusi Kwa walipa Kodi
Admin u.eamua ulog in kwa fekero utoe nyongo!!acha kutukana bila fanya tafiti wewe. unajua walipa kodi wapo wanaojua kiswahili na wapo wasiojua kiswahili. sasa ulitaka kitumike kiswahili pekee? mbona wamesema pia lipo la kiswahili na hapo nimeona ufafanuzi mzuri na link ya kwenda kiswahili pia wameweka? sasa umeona limewekwa kwa kizungu ulikuwa unasoma la nini ? kiherehere tu
sijaelewa unamaanisha nini? kwani kila anayejibu tofauti na maoni ya mtu humu ni admini? au kutofautiana maoni na hoja lazima uwe admini? Mimi ni mlipakodi kama wananchi wengine tu na jambi likinikera naliongea liwe postive au negativeAdmin u.eamua ulog in kwa fekero utoe nyongo!!