Public Relations: Rais Magufuli angeweza kutoa msamaha kwa wafungwa wachache (Mtwara Pekee) ili kuenzi matendo mema, hekima na busara za mzee Mkapa

Shauri yao Magufuli kiboko yao anakubalika internationally.
 
Shauri yao Magufuli kiboko yao anakubalika internationally.
 
Rais Magufuli ni mbeba maono Kwa jinsi uchumi wa Tanzania unavyokuwa kwa kasi hadi 2025 tutakuwa tumeipiku south Africa.
 
yule mchimbaji mdogo aliyepewa mabilion na Magufuli amshukuru sana Rais kwa kuwa na roho nzuri.
 
Lissu hakuna kitu hata kimoja anaweza kuwa mbele ya Magufuli. Kipigo atachopewa October anaweza kuwachukia Watanzania wote.
 
Asante Rais Magufuli kwa kutupeleka Tanzania katika uchumi wa kati, Mungu akupe afya uendelee kututumikia.
 
Huko Mtwara mnakoimba nako huwa hana upepo nao kabisa..................... nadhani hata anakwenda tuu ila kiuhalisia hatakiwi huko asaante Ruwangwa
Mbona mzee Mkapa alikuwa anaenda sana Mtwara mjini kupumzika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…