Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Magufuli ni mbeba maono Kwa jinsi uchumi wa Tanzania unavyokuwa kwa kasi hadi 2025 tutakuwa tumeipiku south Africa.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Ndugu zangu watanzania;
Rais Magufuli angeweza kutoa msamaha kwa wafungwa wachache tu (MTWARA PEKEE) ili kuweza kuenzi matendo mema, hekima pamoja na busara za mzee Benjamin William Mkapa.
View attachment 1520786
Kwa kawaida Mh. Rais hutoa msamaha kwa wafungwa wakati wa maadhimisho ya sherehe za kitaifa kama uhuru, muungano, nyerere day, karume day, n.k Kwangu mimi binafsi ninaona siku ya leo ya terehe July 29, 2020 ni siku ya kitaifa ya mzee Mkapa kama mtu aliyekuwa mkuu wa nchi kwa muda wa miaka 10 mfululizo.
Simaanishi kwamba kila anapokufa mwanasiasa msamaha unapaswa kutolewa, hapana, bali mtu aliyekuwa kiongozi mkuu wa nchi sio mtu wa kufanana na mlalahoi kama Infantry Soldier.
Nimeamua kuandika hivi kwa maana kwamba ninatambua kuwa suala hili halipo kisheria, kikatiba wala kitaratibu huko serikalini, lakini watanzania waishio mtwara wanahitaji kupatiwa mkono wa shukrani. Mkoa ule wa Mtwara, Wilaya ya Masasi pamoja na kijiji cha Lupaso wametutolea mzalendo wa kweli, jasiri na shujaa wa taifa letu kwa kipindi chote cha miaka 82 aliyopata kuishi hapa duniani.
Licha ya kwamba alikuwa ni Rais wa Tanzania kwa miaka 10 ya uongozi wake, lakini pia mkoa wa Mtwara umetupa mtu aliyejali pia ushirikiano, uhusiano mwema pamoja na utengamano wa nchi yetu na mataifa ya jirani pamoja na ndugu zetu wengine wa bara zima hili la Afrika. Mkapa alikuwa ni mwana halisi wa afrika (A TRUE SON OF AFRICA)
View attachment 1520788
Alikuwa amejitolea katika ushirikiano wa kikanda pamoja na ule wa Kusini mwa jangwa la sahara (South-South Cooperation), ikiwa ni pamoja na kupatanisha katika mizozo ya kivita pamoja na ile ya kisiasa katika nchi mbali mbali za Kiafrika, ambapo alifanikiwa kuja na suluhisho za Kiafrika kwa shida za Kiafrika (African solutions to African problems).
Alikuwa sehemu ya Jopo la Jumuiya ya Waafrika waliojulikana (AU Panel of Eminent African Personalities) ambao waliingilia kati mzozo wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2008 nchini Kenya ambao ulisababisha kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ambayo ilileta amani na utulivu nchini humo.
Kulingana na uimara wake katika medani ya siasa za kimataifa na diplomasia na kama mzee wa mwenye busara iliyotukuka katika taifa, Mkutano wa Wakuu wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC) ulimteua kuwezesha Mazungumzo ya amani ya nchini Burundi ambayo yalileta pamoja serikali na makundi mbali mbali ya upinzani katika Jamhuri ya Burundi kati ya mwaka wa 2016 na 2018, na kufanya juhudu za makusudi juu ya namna bora ya kupata njia ya kutoka kwenye mzozo ule wa kisiasa.
PUMZIKA KWA AMANI MZEE MKAPA. VITA UMEIPIGANA NA MWENDO UMEUMALIZA BABA YETU. MUNGU AKUPE PEPO ILIYO NJEMA MZALENDO MWENZANGU.
View attachment 1520770
OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
yule mchimbaji mdogo aliyepewa mabilion na Magufuli amshukuru sana Rais kwa kuwa na roho nzuri.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Lissu hakuna kitu hata kimoja anaweza kuwa mbele ya Magufuli. Kipigo atachopewa October anaweza kuwachukia Watanzania wote.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Asante Rais Magufuli kwa kutupeleka Tanzania katika uchumi wa kati, Mungu akupe afya uendelee kututumikia.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Mbona mzee Mkapa alikuwa anaenda sana Mtwara mjini kupumzikaHuko Mtwara mnakoimba nako huwa hana upepo nao kabisa..................... nadhani hata anakwenda tuu ila kiuhalisia hatakiwi huko asaante Ruwangwa
The point is that, Meko fool lacks the mental capacity to serve this country as a local government chairman, sorry I mean a president.Mkuu hakuna anayetetemeka, siku tatu Rais Magufuli amepumzika nyumbani maana ushindi ni ni uhakika zaidi ya 95%.
Nyumbani ni nyumbani ulimsikia akienda Chatto kupumzika zaidi ya kupenda kwenda Lushoto na ndiko akaweka makazi?Mbona mzee Mkapa alikuwa anaenda sana Mtwara mjini kupumzika
Ninakubaliana sana na msemo huu...Nyumbani ni nyumbani
Hapa unamzungumzia nani mkuu?ulimsikia akienda Chatto kupumzika zaidi ya kupenda kwenda Lushoto na ndiko akaweka makazi?
Hapa unamzungumzia nani mkuu?
Sawa mkuuHayati Mkapa
Sawa ndugu yangu
Okay...Sawa mkuu wewe unayeishi logically. Mimi sikuwa na nia yoyote mbaya bali kukumbusha wewe na wengine ambao hawajui kuhusu hilo.
Sawa kaka mkubwa. Be blessed.Kama unalijua basi ni vema, ujumbe utawafaa wengine.
Be blessed too kwa mawazo chanya kama hayaSawa kaka mkubwa. Be blessed.
Na wewe pia changia mawazo mkuuBe blessed too kwa mawazo chanya kama haya
Be blessed tooSawa kaka mkubwa. Be blessed.