PUBLIC RELATIONS: Waziri Kabudi alikosea kuikana kauli yake juu ya kifo cha Azory

Ukimwonea mtu mi nakudharau tu.
infantri matusi yote uliyoandika yawe kwako kama ulivyosema, lisipungue neno.
 
Azory Gwanda aliwahi kuandika nini kuhusu Kibiti?

Hata news story moja, editotial, ipo ?
 
Unamlaumu John M. Kabudi wakati unafahamu Sio Mwadiplomasi mzuri maana hawajawahi kufanya kwa Vitendo zaidi ya nadharia ta Darasani
 
Soja wanadiplomasia mzuri
 
Moja ya sifa mbovu ya huu utawala wa kiimla ni kuteka, kutesa na kuua watu wasio na hatia lakini bado viongozi wa kidini wanamsujudu na kumuombea rais.

Lakini kosa la jinai halina mwisho labla hawa watesi wafe japo hawawezi kufa wote kwa mpigo. Tujipe tu moyo kuwa ipo siku watajibu tena wakingali hapa hapa duniani. Inshallah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…