Public Service Recruitment Secretarieat

Public Service Recruitment Secretarieat

Tafakuru

Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
83
Reaction score
33
Jamani, nimeona kwenye daily news sekretariet ya ajira imeita raia kwa ajili ya usaili tarehe 16 ya mwezi huu. nafasi zilizopo ni za Medical officer grade II, Inspector Grade II, Research Assistant (Economics), Senior Estate Officer, Nursing Officer, Binder, Research assistant (Dietics), Principal accountantII, Country representative TCAA...nmecheck kwenye website zao kwa ajili ya kupost links lakini sijaona haya majina na kwa kuwa nimengi nmeshindwa kuyakopy hapa...alieyaona maali aweza post au tutafute gazeti.
Karibu
 
Mkuu si umesema umeyaona kwenya daily news?nini zaidi?
 
dah, sasa ni Dr. Kupenge.... following JK footsteps
 
Nakumbuka niliombaga Estate Officers...ngoja nifatilie
 
Jamani, nimeona kwenye daily news sekretariet ya ajira imeita raia kwa ajili ya usaili tarehe 16 ya mwezi huu. nafasi zilizopo ni za Medical officer grade II, Inspector Grade II, Research Assistant (Economics), Senior Estate Officer, Nursing Officer, Binder, Research assistant (Dietics), Principal accountantII, Country representative TCAA...nmecheck kwenye website zao kwa ajili ya kupost links lakini sijaona haya majina na kwa kuwa nimengi nmeshindwa kuyakopy hapa...alieyaona maali aweza post au tutafute gazeti.
Karibu

Fuata hii link: https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=47129&d=1328896845
 
Back
Top Bottom