Public speaking forum

Public speaking forum

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,478
Reaction score
3,659
Hello wadau
Kwa muda sasa nimekuwa najisikia huu wito wa kuwa public speaker. Sidhani kama ni siasa au dini, sio huko. Labda siasa ila baadae sana na itokee naturally. Najisikia zaidi kuwa mzungumzaji wa mazuala ya kijamii na kiuchumi (micro level). Natamani kupata jukwaa mashuleni (hasa sekondari). Natamani kuzungumza na vijana. Mimi ni mtu mzima.

Nafahamu wapo wengi wanafanya haya masuala. Nao walianzia sehemu fulani. Nawafahamu wachache, kina Mauki, Mashauri (simsikii tena), Joel, Haris, Luvanda, n.k.

Najua kwa uzi huu ndio utakuwa lango la kufika huko. Ninachojua katika tasnia hii ni munimu sana kusoma vutabu na machapisho. Kadhalika kuwa mtu wa current events.

Je, yupo mtu nae ambaye ana kiu kama hii? Tunaweza kujua pa kuanzia
 
Nadhani ingekuwa vyema kama ungeanza na kutengeneza video kwanza ili watu wakufahamu na iwe rahisi kujua wewe ni mtu uliye bobea katika speach za aina gani.
 
Back
Top Bottom