“PUBLIC TOILET” Ni sahihi kuita Choo cha nyumba binafsi Public toilet?

“PUBLIC TOILET” Ni sahihi kuita Choo cha nyumba binafsi Public toilet?

LellozWho

Member
Joined
Jul 13, 2021
Posts
89
Reaction score
122
Madalali wengi na watu binafsi kwa Tanzania wanatumia neno Public toilet kwenye choo cha wageni katika (residential house) makazi binafsi.

hii imekaa sawa?
 
Back
Top Bottom