Public Transport Dar es salaam vs Nairobi

Usafir wa Taxi ndani ya jiji la Dar es salaam.
Taxi za dar es salaam zimewekewa alama(Mstari ubavuni na namba).
Mistari inahusika na Wilaya tatu za Dar es salaam
1. Kinondoni ni rangi ya Njano (Yellow)

2. Temeke ni rangi ya bluu (Blue)


3. Ilala ni rangi ya kijani (Green)
 
Hahahaha sasa unabisha nini wewe sio nyani???
 
Wewe jamaa mapovu mengi utadhani una hisa na dsm.. Kwenu mtwara hupatetei . Unaitetea dsm.
Hence wewe ni nyani.
 

Kawaida yenu ninyi wapuuzi ni kusifia vyawatu hata kama sivyo
Uje umkatae na babako use me siyo kwa kuwa hana pesa!!!

Ulitakiwa kuonyesha hapa hicho unacho kiamini kutoka Nairobi siyo kupayuka kama umekunywa Viroba.

Hakuna public transport ya maana Nairobi
 

Annael wachana na watu walio zaliwa kwa bahati Mbaya wanaishi kwa makusudi
 
Wewe nawe ni nyani tu..
Sijasema kuwa nairobi kuna usafiri mzuri ..
Acha unyani... Nyani haondi kunddule ndio wewe hapo. Unatukana wazazi wangu wamekufanyaje? Acha akili za kinyani kama mwezako..
In short usafiri wa dsm hakuna cha kusifia .. Bado sana hali ni mbaya..
Nyie wote mnaodhani kuwa usafiri wa bongo ni mzuri hamjawahi kuishi mbagala au gongo la mboto na ndio maana nawaoba nyie kuwa ni manyani.
Kenge wahedi
 
Kwikwikwi povu la nini sasa dogo.
Rudi kwenye mada dogo langu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wenyewe kwa wenyewe sasa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wekeni picha za mbagala mnaweka picha za brt na uber.. Nairobi uber ipo hadi helkopta .. Kuna city hopper..
Nina uhakika nyie hamjawahi kukanyaga Nairobi ila nawahakikishia .. Bibi kizee anaweza kutumia public transport Nairobi any time iwe jioni mchana au usiku .. Y
Ila kwa dsm .. Watu ni kama manyani bibi kizee atasukumwa kule wanawake wanasukumwa kulee.. Wanaume na vijana na wenye nguvu ndio wanapanda gari. Its a shame!!
Afu hawa kenge wAwili wananitukania wazazi wangu kisa tu nimeongea ukweli na uhalisia?
 
Hakika hili lilinifurahisha, i wish watz tungejifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…