Mrs Kharusy
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 1,244
- 671
Pudding hiyo halooooo
Hahhaha mkatie kipande mkwe wangu
Atajimba sana lol juzi nimemrambisha cherry weee kajirba huyo kanishika na mkono kwa utamu
mie hayo ma-pudding yenu sikulagi kabisaaaa. labda nnachoweza kula, tena nikiwa mgonjwa ni rice pudding.
hapa simo farhkina na Mrs Kharusy.
Niambieni visheti, vibibi, bhagia na mengineyo
Atajimba sana lol juzi nimemrambisha cherry weee kajirba huyo kanishika na mkono kwa utamu
Sasa hivi unaweza kukamua nusu chungwa kisha kulichuja ili kuondoa makapi na kumpa kwa kijiko hakikisha chungwa ni tamu maana machungwa mengine mhhhh!!!! Utaona jinsi atakavyojiramba mpaka atataka kuutafuna ulimi lol!!!
Nimemrambisha tu ila ntamfanya hivo leo nimtengea ndizi ya kuiva,apple na carrot ila si unazijua zile ready made ila mie nlipenda kuntengezea home ilikua nyepesi kaipenda sana ..nimempa nyonyo kakataa lol
hii imenipita.
ipi imekupita??
Sijaelewa kabisaa. Hii ni keki au ni nini? Na mnavoisifia ndo curiosity inazidi.
Hahahha pole. Jina ni Pudding...hii ni aina tu moja wapo ya dessert.
Ingia jikoni n try the recipe...tuletee mrejesho km utaipenda