Mrs Kharusy
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 1,244
- 671
Mayai 6
Maziwa sona kikopo 1
custard kijiko 1
maziwa ya unga vijiko 5
maziwa ya maji vikombe 2 na nusu vanila kijiko 1
mimina vyote kwenye blender saga.
Kwenye sufuria safi ndogo kiasi unguza sukari hadi iwe brown ila isiungue. Wacha sufuria ipoe mimina mchanganyiko wako kwenye sufuria
Ifunike foil vizuri
Kwenye sufuria kubwa mimina maji kiasi utumbukize sufuria yako yenye mchanganyiko taratibu then unachoma kwenye oven kwa muda wa saa 1 na nusu.
Itoe uwache ipoe.
Weka kwenye fridge . Upishi tayar kwa kuliwa.