unajua kitu kweli ww tuulize sieKivumah huyo mtu anataka kukuza jina coz Pd is a big time Celebrity and things are getting better as time goes by.... I love Tupac... loved him ile mbaya when he was alive.... Kipindi Tupac yupo juu in conjuction with Notorious Pd hakua na that big a name or that big influence compared to sasa... Hivo my stand ni kua jamaa anataka kukuza jina.... Kama hivi mie nilikua simfahamu sasa nisha mfahamu....
....Nakubaliana na wewe AD, kwamba kwa sasa P.Diddy mambo yake ni Super, big time celebrity, he makes money kupitia muziki na biashara zake nyingine, mie naamini hata jina lake lishakuwa sana baada tu ya kufa kwa Biggie. Sijasikia comments zake kuhusu hizi taarifa za kumhusisha na kifo cha Tupac, but all in all vifo hivi vya hawa ma-celeb ni mambo ya Beef za kibiashara.Kivumah huyo mtu anataka kukuza jina coz Pd is a big time Celebrity and things are getting better as time goes by.... I love Tupac... loved him ile mbaya when he was alive.... Kipindi Tupac yupo juu in conjuction with Notorious Pd hakua na that big a name or that big influence compared to sasa... Hivo my stand ni kua jamaa anataka kukuza jina.... Kama hivi mie nilikua simfahamu sasa nisha mfahamu....
unajua kitu kweli ww tuulize sie
....Nakubaliana na wewe AD, kwamba kwa sasa P.Diddy mambo yake ni Super, big time celebrity, he makes money kupitia muziki na biashara zake nyingine, mie naamini hata jina lake lishakuwa sana baada tu ya kufa kwa Biggie. Sijasikia comments zake kuhusu hizi taarifa za kumhusisha na kifo cha Tupac, but all in all vifo hivi vya hawa ma-celeb ni mambo ya Beef za kibiashara.
illuminate killed him
inawezekana,
...@Red, see the connection
am certain us government ilikuwa na mkono wake kwa kifo cha tupac....alishawahi sema "am afraid of what i become" kwa maana ya kuwa aliteka hisia ya vijana wengi mno kiasi kwamba wengi walikuwa tayari kufanya chochote ambacho tupac angesema.......chriss rock once alisema iweje serikali iweze kumsakanya sadam na osama mpaka wakawapata na washindwe kumpata muuaji wa tupac ndani ya marekani?