Puff Daddy(P.Diddy) ndiye aliemuua Tupac Shakur

Puff Daddy(P.Diddy) ndiye aliemuua Tupac Shakur

du kwa wazungu bana wanapiga mambo na hakuna tracess zinabaki aisee hawa jamaa ni noooma sana .......
 
mpaka sas muuaji rasmi wa tupac hajulikani na sababu 2pac alikua ant illuminat na alikua anawapinga waziwazi hawa freemansin kifo chake kinahusika moja kwa moja na freemanson sababu ushawahi kujiuliza kwa taifa kubwa kama marekani wanashindwaje kumjua muuaji wa mauaji yanayofanyika hadharani mtu kama kened raisi kijana kabisa wa marekani alieuwawa mpaka leo muuaji ajuklikani na rasi kened alikua anawapinga waziwazi hawa illuminant
 
P.didy ana damu ya kisomali,lakin kuhusu Tupac hata kaburi hatujawahi kuliona hata mama yake mzaz hajui mwanae yupo au ashakufaa
 
Dah huu ubishi wa kitambo! Pengine utaendelezwa hata na wajukuu zetu!
 
Ain't easy ngoma kali ya 2pac. Beat imeenda shule sio wakina lil Wayne wanazingua tu
 
umeitoa mbali sana hii bdo ukwel haujapatikana!
 
kumbe boksa walikua wana vaa miaka hiyo mmmmh tz naona zimeingia juz tu enzi za kina mr nice na dudubaya wasani wetu walikua wana va chupi..
saiv ndo tunaona malimbukeni kina ney wamitego mpaka jezi za kijeshii wana zivalia kata k... ili tuone mi boksa yao.... duuh



story ya huyu 2pac jamani kah ni mapicha picha bora tu ubaki ivo ivo mana haieleweki.

wimbo wa dear mama lile beat lAke halito kalitoke tena dah kweli kipaji ni karama talanta akupayo mungu...
 
Wote wawili they're too big to live in this world.
 
Huyu mtu, hata Mi nilihisi anahusika kwa kiasi fulani, ingawa wengine walimtaja mpaka Suge Knight, na nafikiri ndio maana Mase alikaa naye mbali kwa kujitoa kidogo kwenye music, ili asije akapatwa na matatizo hata ya kuuawa kwa kuongozana na mtu wa aina hii, miaka ya 2000's mwanzoni, rapper Shyne kutoka Bad Boys alifungwa jela miaka 10, baada ya kupiga risasi, ili kumtetea P.Diddy asiuawe, nafikiri tukio hili lilitokea muda mfupi baada ya Snoop Dogg, kunusurika kuuawa, P.Diddy na Snoop Dogg walishanusurika kuuawa baada ya kila mmoja kumtumia mwenzie wauaji but now P.Diddy, Snoop Dogg na East Coast, Bad Boys na West Coast kwa ujumla, walishasameheana na wana maelewano mazuri, ndio maana kuna muziki mmoja wa P.Diddy, watu wa West Coast kama Snoop Dogg na Mike Tyson walionekana. Mike Tyson ni mshikaji mkubwa sana wa West Coast, West Side, na 2pac, Tupac, alipigwa risasi muda mfupi baada ya kutoka kwenye pambano la Tyson na Bruno la 96, inasemekana ilikuwa ni dakika 45 baada ya pambano, gari aliponda iliposimama kwenye mataa, siku hiyo hakuwa amevaa bullet proof, shuhuda mmoja aliyekuwa karibu sana na eneo, aliuawa baada ya siku 3, wakati 2pac alifariki baada ya siku 9, akiwa hajitambui kabisa na akipumulia mashine, 2pac na Big walikuwa marafiki but kutokuaminiana na wivu, kuliwafanya wachukiane, kutokuaminiana, wivu, majivuno, chuki, unafiki, makundi, kuliwacost uhai wao.

Nadhan alipiga rusasi alipotoka kuangalia pambano kati ya Tyson na Seldon na sio Bruno,, 96 hiyo
 
Back
Top Bottom