Puff Daddy(P.Diddy) ndiye aliemuua Tupac Shakur

du kwa wazungu bana wanapiga mambo na hakuna tracess zinabaki aisee hawa jamaa ni noooma sana .......
 
mpaka sas muuaji rasmi wa tupac hajulikani na sababu 2pac alikua ant illuminat na alikua anawapinga waziwazi hawa freemansin kifo chake kinahusika moja kwa moja na freemanson sababu ushawahi kujiuliza kwa taifa kubwa kama marekani wanashindwaje kumjua muuaji wa mauaji yanayofanyika hadharani mtu kama kened raisi kijana kabisa wa marekani alieuwawa mpaka leo muuaji ajuklikani na rasi kened alikua anawapinga waziwazi hawa illuminant
 
P.didy ana damu ya kisomali,lakin kuhusu Tupac hata kaburi hatujawahi kuliona hata mama yake mzaz hajui mwanae yupo au ashakufaa
 
Dah huu ubishi wa kitambo! Pengine utaendelezwa hata na wajukuu zetu!
 
Ain't easy ngoma kali ya 2pac. Beat imeenda shule sio wakina lil Wayne wanazingua tu
 
umeitoa mbali sana hii bdo ukwel haujapatikana!
 
kumbe boksa walikua wana vaa miaka hiyo mmmmh tz naona zimeingia juz tu enzi za kina mr nice na dudubaya wasani wetu walikua wana va chupi..
saiv ndo tunaona malimbukeni kina ney wamitego mpaka jezi za kijeshii wana zivalia kata k... ili tuone mi boksa yao.... duuh



story ya huyu 2pac jamani kah ni mapicha picha bora tu ubaki ivo ivo mana haieleweki.

wimbo wa dear mama lile beat lAke halito kalitoke tena dah kweli kipaji ni karama talanta akupayo mungu...
 
Wote wawili they're too big to live in this world.
 

Nadhan alipiga rusasi alipotoka kuangalia pambano kati ya Tyson na Seldon na sio Bruno,, 96 hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…