Pugu Boys Secondary School a.k.a Pond boys

Shule yake haikuwa Chanika bali ni Majohe. Inasemekana aliundergo mental disorder
 
Shule yake haikuwa Chanika bali ni Majohe. Inasemekana aliundergo mental disorder
Nsikitika sana kusikia taarifa hizi.
Kama kuna Daktari wa binadamu anasoma uzi huu naomba niulize swali kwamba:

Is there any POSITIVE CORRELATION kati ya watu ambao ni VERY BRIGHT halafu WAPOLE na ku-undego MENTAL DISODER?

Kuna mate wangu mwingine mmoja tulisoma wote O-level; VERY BRIGHT na pia MPOLE SANA. Nilikuja kushtukizwa na taarifa mbaya kuwa alikufa kwa kujirusha kutoka juu kwenye mojawapo ya mabweni mawili marefu sana ya ghorofa yaliyopo pale UDSM baada ya kuwa ame-undego mental disoder vile vile; ALIKUWA MPOLE SANA, HALAFU VERY BRIGHT!
MKANDAWILE naye ni MPOLE SANA, halafu tena VERY BRIGHT!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…