Suala la mazingira ya kupiga siyo kweli...kwani nilishawahi mpeleka dogo pale Na suruali haikufika vigezo vya upana wanaotaka tulienda kurekebisha mbali sana kwani hakukua Na mwalimu yeyote aliyefanya shughuli hiyo ya kushona.
Kingine suala la vipimo vya suruali Huwa linaelezewa kabisa ikiwa ni pamoja Na rangi za uniform Ila ni kiburi tu unaamua kushona unavyoamua wewe...Mbona hujaenda Na suruali nyekundu Ila ya blue.
Mwalimu ameona fursa kutokana Na viburi vyetu...yaani kufa kufaana usimsingizie ni mpigaji FUATA MAELEKEZO.