pumba

pumba

Kelvin00

Member
Joined
Nov 3, 2016
Posts
62
Reaction score
19
hivi humu hakuna wanaoongoza kwa pumba hebu tupia zako kama unahisi una kipaji hiko amazing mshindi atatajwa na kupewa zawadi
 
Nimegundua kumbe juma ponda mali suti zake anatungua mtumbani kule tandale
 
Najua watu watakuja kutaja hawa watu watatu. Sijui kwa nini lakini.

(1) Lizaboni

(2) Wakudadavua

(3) Motochini

Honourable mentions

(1) Ben Saanane

(2) Mmawia

(3) Swissme

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom