Pumba

chuvachok

Member
Joined
Dec 7, 2013
Posts
73
Reaction score
11
Kwa wafugaji waliopo maeneo ya Bunju, Mapinga, Kerege na Zinga ninaweza kuwaunganisha kupata pumba za kulisha mifugo kwa wingi. Bei ni 21000/- kwa gunia la debe saba. Tuma ujumbe ukionesha kiasi ukitakacho kwa 0784222293.
 
Pumba hiyo ni ya mahindi? Kama ya mahindi umenoa cos inasafirishwa toka dar mpaka moshi alafu inauzwa 17000 sembuse dar?
 
Pumba zinauzwa kutokana na msimu. Na hiyo inayouzwa 17000 Moshi ningependa niinunue mimi hapahapa. Nipatie inapopatikana au niunganishe Mkuu nitashukuru. Pia nina mashudu ya alizeti kwa wingi sana. Bei mia saba kwa kilo na vumbi la dagaa elfu na mia mbili kwa kilo. Ukichukua mzigo Mwenge bei itashuka kidogo.
 
Pumba ni cheap kwa sasa mkuu.
Ipo manzese tandale kwa 12,500 kwa gunia la debe 7.
 
Mkuu kumbuka kuna usafiri na makandokando yake ikiwa ni pamoja na kuhifadhi. Kutoka Tandale hadi kwenye ghala ni zaidi ya kilomita 30 hiyo ni gharama. Hivi sasa gunia la debe saba wanauziwa kati ya 23000 hadi 24500/- uliza wafugaji wa kuanzia Bunju kusonga mbele hadi Bmoyo.
 

moshi wamapitisha na magari toka dar hadi mlangoni mpaka Rombo bei ni ileile elf 17
 
hIVI HIZI BEI ZA 12,000/= NA 17,000/= MNA UHAKIKA NAZO? MI NIKO MWANZA, HAKUNA SEHEMU WANAPOPUNGUZA CHINI YA 21,000/= NAWASHANGAA JAMANI AU MWANZA KUNA WAFUGAJI WENGI NINI?
 

Nahitaji vumbi la dagaa kilo 10.napatikana kigamboni
 
NENDA manzese TANDALE utajua ukweli.pale kwa sasa ni 12,000-14,000 kwa gunia la debe 7.nimenunua jana kwa ajili ya mifugo yangu.
hIVI HIZI BEI ZA 12,000/= NA 17,000/= MNA UHAKIKA NAZO? MI NIKO MWANZA, HAKUNA SEHEMU WANAPOPUNGUZA CHINI YA 21,000/= NAWASHANGAA JAMANI AU MWANZA KUNA WAFUGAJI WENGI NINI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…