Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumba zinauzwa kutokana na msimu. Na hiyo inayouzwa 17000 Moshi ningependa niinunue mimi hapahapa. Nipatie inapopatikana au niunganishe Mkuu nitashukuru. Pia nina mashudu ya alizeti kwa wingi sana. Bei mia saba kwa kilo na vumbi la dagaa elfu na mia mbili kwa kilo. Ukichukua mzigo Mwenge bei itashuka kidogo.
Mkuu kumbuka kuna usafiri na makandokando yake ikiwa ni pamoja na kuhifadhi. Kutoka Tandale hadi kwenye ghala ni zaidi ya kilomita 30 hiyo ni gharama. Hivi sasa gunia la debe saba wanauziwa kati ya 23000 hadi 24500/- uliza wafugaji wa kuanzia Bunju kusonga mbele hadi Bmoyo.
Pumba zinauzwa kutokana na msimu. Na hiyo inayouzwa 17000 Moshi ningependa niinunue mimi hapahapa. Nipatie inapopatikana au niunganishe Mkuu nitashukuru. Pia nina mashudu ya alizeti kwa wingi sana. Bei mia saba kwa kilo na vumbi la dagaa elfu na mia mbili kwa kilo. Ukichukua mzigo Mwenge bei itashuka kidogo.
hIVI HIZI BEI ZA 12,000/= NA 17,000/= MNA UHAKIKA NAZO? MI NIKO MWANZA, HAKUNA SEHEMU WANAPOPUNGUZA CHINI YA 21,000/= NAWASHANGAA JAMANI AU MWANZA KUNA WAFUGAJI WENGI NINI?