Pumbu(korodani) zinauma

Pumbu(korodani) zinauma

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Wakuu, Asubuhi ya leo nimeamka mwanajeshi wangu kasimama hatari, yaani anasimama then anapoa anasimama then anapoa.

So mida hii huyu mwanajeshi amepoa kabisa ila nahisi maumivu makali kwa korodani zangu. Pia Nina muda mwingi sana sijafanya mapenzi wala kupiga punyeto.

Tatizo nini hapa?
 
Nadhan itakua infection lkn inaweza sababisha tatizo kama ilo kaka lkn usjal inabidi uende hospitali utapata dawa sahihi
 
Hio inasababishwa na kuwa ulisimama sana mjeshi , pia kuna Yale maji maji mepesi inamana yalitoka mengi wakati mjeshi kasimama, but mda so mrefu yataondoka ayo maumivu
 
Wakuu, Asubuhi ya Leo nimeamka mwanajeshi wangu kasimama hatari, yaani anasimama then anapoa anasimama then anapoa.
So mida hii huyu mwanajeshi amepoa kabisa ila Nahisi maumivu makali kwa korodani zangu. Pia Nina mda mwingi sana sijafanya mapenzi wala kupiga punyeto..
Tatizo ni hapa Madoctor..?
Tatizo la kawaida tu hua inatokea endapo utakuwa umedindisha sana
 
Back
Top Bottom