rommy shabby
JF-Expert Member
- Jun 26, 2017
- 1,123
- 1,302
Mpya kabsa
Hiyo pampu inauzwa 320000. Sido mby na uhakika Dar itakuwa chini zaidi iweje uuze sawa na dukani, mi ninaihitaji ila bei yako ni bora nikanunue mpya.mpira unacheza 160 dukani.YafakariHabari wapenda humu ndani nina uza pump ya kumwagilia inch tatu aina ya boss kwa laki tatu na thelathini mpira wake laki moja na arobaini mpira ni mitaa mia vitu vyote bado vipya kabisa havitumika nilikuwa na plan ya kufanya kilimo eneo flani hivi sasa hilo eneo pump hii ya inch tatu uwezo wake ni mkubwa sn yaan ni kupandisha maji kwa eneo la maji ya chemchem hivi ama madimbwi sio nzuri kutumia maana maji yataisha yote kutokana na u kubwa wa pump na uwezo wake na pump ipo mbagala rangi tatu kama unahitaji nifate inbox
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo pampu inauzwa 320000. Sido mby na uhakika Dar itakuwa chini zaidi iweje uuze sawa na dukani, mi ninaihitaji ila bei yako ni bora nikanunue mpya.mpira unacheza 160 dukani.Yafakari
Kitu ukishatoa dukani kinashuka thamani hata kama hujakitumia, kwa mtu makini huwezi muuzia bei hiyo mana hajui inamatatizo gani, haina garantee, ukiniuzia msala unabaki kwangu kama ni mbovu.Halafu kitu kuwa kipya haimaanishi hakina matatizo, nakutakia biashara njema.Sawa mkuu mm nilikua siuzi kwa Tamaa lengo langu lilikua nirudishe tu pesa yng maana pump haijatumika hata kdg, kama vp ww nenda tu sido au dukani kaka ukachukue hiyo inch 3 company ya boss kwa pesa yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu ukishatoa dukani kinashuka thamani hata kama hujakitumia, kwa mtu makini huwezi muuzia bei hiyo mana hajui inamatatizo gani, haina garantee, ukiniuzia msala unabaki kwangu kama ni mbovu.Halafu kitu kuwa kipya haimaanishi hakina matatizo, nakutakia biashara njema.
Mkuu hio pump ipo na risiti yake!mi nitakupa 250.000/=pamoja na mpira wake.ukiafiki nipm please
Sent using Jamii Forums mobile app