rommy shabby
JF-Expert Member
- Jun 26, 2017
- 1,123
- 1,302
Habari wapenda humu ndani nina uza pump ya kumwagilia inch tatu aina ya boss kwa laki tatu na thelathini mpira wake laki moja na arobaini mpira ni mitaa mia vitu vyote bado vipya kabisa havitumika nilikuwa na plan ya kufanya kilimo eneo flani hivi sasa hilo eneo pump hii ya inch tatu uwezo wake ni mkubwa sn yaan ni kupandisha maji kwa eneo la maji ya chemchem hivi ama madimbwi sio nzuri kutumia maana maji yataisha yote kutokana na u kubwa wa pump na uwezo wake na pump ipo mbagala rangi tatu kama unahitaji nifate inbox
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app