B Baija Bolobi JF-Expert Member Joined Feb 25, 2009 Posts 1,093 Reaction score 1,733 Jan 26, 2017 #2 sterter said: Nina pambu ya maji aina ya SHIMGE I Horze power,nauza kwa Tsh.150,000/=,kwa anaehitaji number zangu ni 0763 995 818.View attachment 464032View attachment 464033 Click to expand... ===== Mimi naihitaji lakini naomba kujua kama inaweza haya: -Kuvuta maji yaliyo chini mita 110, yaani nina kisima kwa ku-drill na maji yako mita 110 chini. -Yaweza kupum maji kwenda km 1 kutoka kisima hiki kilipo? sina utaalam kwa hiyo nauliza kama "msukuma"🙂
sterter said: Nina pambu ya maji aina ya SHIMGE I Horze power,nauza kwa Tsh.150,000/=,kwa anaehitaji number zangu ni 0763 995 818.View attachment 464032View attachment 464033 Click to expand... ===== Mimi naihitaji lakini naomba kujua kama inaweza haya: -Kuvuta maji yaliyo chini mita 110, yaani nina kisima kwa ku-drill na maji yako mita 110 chini. -Yaweza kupum maji kwenda km 1 kutoka kisima hiki kilipo? sina utaalam kwa hiyo nauliza kama "msukuma"🙂
sterter Member Joined May 25, 2015 Posts 94 Reaction score 52 Jan 26, 2017 Thread starter #3 Yenyewe haivuti maji bali inasukuma maji kutoka chini kuja juu,kwa possibly inaweza kusukuma maji kwa depth hiyo
Yenyewe haivuti maji bali inasukuma maji kutoka chini kuja juu,kwa possibly inaweza kusukuma maji kwa depth hiyo
B big m Member Joined Nov 27, 2013 Posts 44 Reaction score 7 Jan 26, 2017 #4 Mimi nahitaji Doyn hp 1 kama unayo sema nije kuichukua hata kama una motor yake tu .contact 0715785811
Mimi nahitaji Doyn hp 1 kama unayo sema nije kuichukua hata kama una motor yake tu .contact 0715785811
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,753 Reaction score 9,575 Jan 26, 2017 #5 INA FAA KWA UMWAGILIAJI HIYO PAMP
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Jan 26, 2017 #6 Hivi Kuna Pump ya Juu(Siyo Submersible) ambayo inaweza kuvuta maji ya kisima cha 150m?
sterter Member Joined May 25, 2015 Posts 94 Reaction score 52 Jan 26, 2017 Thread starter #7 King Kong III said: Hivi Kuna Pump ya Juu(Siyo Submersible) ambayo inaweza kuvuta maji ya kisima cha 150m? Click to expand... Zipo hizo pump ila lazima iwe na kubwa kwa horse power
King Kong III said: Hivi Kuna Pump ya Juu(Siyo Submersible) ambayo inaweza kuvuta maji ya kisima cha 150m? Click to expand... Zipo hizo pump ila lazima iwe na kubwa kwa horse power
C Chagga King JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 1,866 Reaction score 1,076 Jan 26, 2017 #8 ...mi ninaihitaji, je, naweza kui run kwa generator? Na hiyo iko poa?
sterter Member Joined May 25, 2015 Posts 94 Reaction score 52 Jan 27, 2017 Thread starter #9 ladyfurahia said: INA FAA KWA UMWAGILIAJI HIYO PAM Click to expand... Chagga King said: ...mi ninaihitaji, je, naweza kui run kwa generator? Na hiyo iko poa? Click to expand...
ladyfurahia said: INA FAA KWA UMWAGILIAJI HIYO PAM Click to expand... Chagga King said: ...mi ninaihitaji, je, naweza kui run kwa generator? Na hiyo iko poa? Click to expand...
sterter Member Joined May 25, 2015 Posts 94 Reaction score 52 Jan 27, 2017 Thread starter #10 Chagga King said: ...mi ninaihitaji, je, naweza kui run kwa generator? Na hiyo iko poa? Click to expand... Ndio inaweza kui run kwa generator
Chagga King said: ...mi ninaihitaji, je, naweza kui run kwa generator? Na hiyo iko poa? Click to expand... Ndio inaweza kui run kwa generator
mtzmweusi JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 8,658 Reaction score 8,994 Jan 27, 2017 #11 kwa umwagiliaji inafaa?
sterter Member Joined May 25, 2015 Posts 94 Reaction score 52 Jan 27, 2017 Thread starter #12 mtzmweusi said: kwa umwagiliaji inafaa? Click to expand... Inafaa kwa umwagiliaji