INAUZWA Pumpu ya maji

INAUZWA Pumpu ya maji

Nina pambu ya maji aina ya SHIMGE I Horze power,nauza kwa Tsh.150,000/=,kwa anaehitaji number zangu ni 0763 995 818.View attachment 464032View attachment 464033
=====
Mimi naihitaji lakini naomba kujua kama inaweza haya:
-Kuvuta maji yaliyo chini mita 110, yaani nina kisima kwa ku-drill na maji yako mita 110 chini.
-Yaweza kupum maji kwenda km 1 kutoka kisima hiki kilipo?

sina utaalam kwa hiyo nauliza kama "msukuma"🙂
 
Yenyewe haivuti maji bali inasukuma maji kutoka chini kuja juu,kwa possibly inaweza kusukuma maji kwa depth hiyo
 
Mimi nahitaji Doyn hp 1 kama unayo sema nije kuichukua hata kama una motor yake tu .contact 0715785811
 
Hivi Kuna Pump ya Juu(Siyo Submersible) ambayo inaweza kuvuta maji ya kisima cha 150m?
 
...mi ninaihitaji, je, naweza kui run kwa generator? Na hiyo iko poa?
 
Back
Top Bottom