Hatimaye mteule wa kupeperusha bendera ya Urais kupitia chama cha Chadema, anatia huruma; hana hoja ya msingi ana ropoka ropoka hovyo njiani akidhani atapata kura za huruma- PUMZI IMEKATA.
Watanzania kwa sasa siyo wale wa miaka ile, na kibaya zaidi wale wote wanaokuja kumuona siyo wapiga kura ni mashabiki tu wanakuja kumuona yule msaliti ambaye alikuwa akisema Serikali yetu itashitakiwa MIGA, ihali akijua ni uongo ili aendelee kushirikiana na mabeberu wachote maliasili zetu.
Bado siku chache kipenga kipulizwe cha kuzunguka nchi nzima, Chadema mumshauri jamaa yenu kuwa mtu pekee anaye weza kuwaombea kura za wabunge ni Mh. Membe wa ACT.
Huyo kweli purukushani za majukwaani anaziweza za kata kwa kata, jimbo kwa jimbo, mkoa kwa mkoa, unganeni mtoe jina moja na chama kiitwe CHADACT.
Mumsaidie asije akaishia njiani, natakiwa kupumzika ili aijenge afya yake. Madakari wake walimshauri lakini yeye kwa vile ameshahakikishiwa na mabeberu kuwa iwe jua iwe mvua lazima achukue nchi ameona ushauri wa madakari wake ni wa kipuuzi.
ASAIDIWE KWA USHAURI AJITOE KABLA YA KIPENGA, MFANYA MAAMUZI SAHIHI YA KUKAMBIDHI BENDERA MH MEMBE AOKOE JAHAZI KABLA HALIJAZAMA- PUMZI IMEKATA