TANZIA Pumzika kwa Amani Mama Anna Bayi

TANZIA Pumzika kwa Amani Mama Anna Bayi

Tembosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,487
Reaction score
3,978
R.I.P the Former Chaneta Chairperson!!

Tahadhari kwa Filbert Bayi Schools.

Mkurugenzi huyu alikuwa chachu kubwa ya maendeleo ya Filbert Bayi.

Mwenyekiti wa zamani wa CHANETA Anna Bayi, ambaye pia alikuwa Mkurugenzi wa shule za Filbert Bayi na Mke wa Mwanariadha Filbert Bayi anatarajiwa kuzikwa kesho Kibaha baada ya kufariki dunia Jan 6,2021 Hindu Mandal Hosp. alipokua akitibiwa “alikua anaugua Pneumonia na Presha"

R.I.P Anna Bayi

Bayi.jpg
 
Huyu mama alikula sana maisha alipokuwa anaishi Kimara na wadogo zake akina Kibibi,kama sikosei alikuwa anafanya kazi Bandari kwenye miaka hiyo ya 80 na alikiwa mcheza netiboli
 
Hii Covid mbona kama imerejea tena kwa kishindo.
 
Back
Top Bottom