TANZIA Pumzika kwa Amani Mama Anna Bayi

TANZIA Pumzika kwa Amani Mama Anna Bayi

Tusipende kuzusha zusha mambo,

Siku moja kabla ya kifo chake alikuwa kafanyiwa operesheni ya utumbo, hvyo probably it went unsuccessfully
Kijana wake anasema ni pressure mbona.
Amekiri Mama yao alikuwa na pressure.
 
Ufunuo 14:13
.
13 Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.
Kimatendo, she deserves best place in Heaven
 
R.I.P the Former Chaneta Chairperson!!

Tahadhari kwa Filbert Bayi Schools.

Mkurugenzi huyu alikuwa chachu kubwa ya maendeleo ya Filbert Bayi.

Mwenyekiti wa zamani wa CHANETA Anna Bayi, ambaye pia alikuwa Mkurugenzi wa shule za Filbert Bayi na Mke wa Mwanariadha Filbert Bayi anatarajiwa kuzikwa kesho Kibaha baada ya kufariki dunia Jan 6,2021 Hindu Mandal Hosp. alipokua akitibiwa “alikua anaugua Pneumonia na Presha"

R.I.P Anna Bayi

very sad
nikikumbuka naona kama jana tu daaah
enzi hizo st mary's kimara ikaja kuitwa filbert bayi🥲🥲🥲
rip mama bayi
 
Tusipende kuzusha zusha mambo,

Siku moja kabla ya kifo chake alikuwa kafanyiwa operesheni ya utumbo, hvyo probably it went unsuccessfully
Unachokifahamu wewe mwenzako anafaham zaidi ya pale unapoishia, so don't panic kijana wangu.
 
Jamani naombeni msaada nahisi Nina pneumonia hata hii habari nimeipata baada ya Ku search neno pneumonia wataalamu kama munajua medication sahh ya huu ugonjwa nisaidieni
 
Back
Top Bottom