TANZIA Pumzika kwa Amani Mama Anna Bayi

Tusipende kuzusha zusha mambo,

Siku moja kabla ya kifo chake alikuwa kafanyiwa operesheni ya utumbo, hvyo probably it went unsuccessfully
Kijana wake anasema ni pressure mbona.
Amekiri Mama yao alikuwa na pressure.
 
Ufunuo 14:13
.
13 Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.
Kimatendo, she deserves best place in Heaven
 
very sad
nikikumbuka naona kama jana tu daaah
enzi hizo st mary's kimara ikaja kuitwa filbert bayi🥲🥲🥲
rip mama bayi
 
Tusipende kuzusha zusha mambo,

Siku moja kabla ya kifo chake alikuwa kafanyiwa operesheni ya utumbo, hvyo probably it went unsuccessfully
Unachokifahamu wewe mwenzako anafaham zaidi ya pale unapoishia, so don't panic kijana wangu.
 
Jamani naombeni msaada nahisi Nina pneumonia hata hii habari nimeipata baada ya Ku search neno pneumonia wataalamu kama munajua medication sahh ya huu ugonjwa nisaidieni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…