Pumzika kwa amani mwanangu

no parent should burry their child!!
My deepest condolences.
 

unatisha afrodenz. 14yrs hajui dhambi huyo, anakula zake bata kwa YESU
 
Pole sana mpendwa, jipe moyo na amini kuwa Mungu anamakusudi katika kila jambo. Nakuombea amani ipitayo akili zote ikuhifadhi na kukufariji.:hug:
 
Poleni Michael na familia yeni wote, ni ngumu kusahau ukiondokewa na mpendwa wako.

Apumzike kwa amani.
 
Kyala gwitu mpalapala kangi gwamaka, akutule nkulumba, twesa jo njila jitu. Roho ya mwanetu ikae mahala pema peponi. tunaomba na kushukuru amen
 
Pole sana ndugu, mungu azidi kuwatia nguvu wewe na familia yako...


Raha ya milele umpe ee Bwana na Mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani Amina.
 
Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.kalale mahali pema peponi mtoto ikupa.mbele yako nyuma yetu tutakufuata.Ameni.
 
‘Ni mwaka sasa umetimia tar kama ya leo 28/3/2011 nilipoondokewa na wewe mwanangu kipenzi IKUPA MWAKYUSA (14yrs) pale Lugalo hosp,najua ulilala tu na sasa umevikwa mwili mpya usiokufa ukipumzika mahali pema peponi‘.msg to jf bros.

Pole sana Michael, Mungu awatie nguvu.
 
...Pole sana Mwakyusa, hili ni jambo gumu sana hili kulikubali, lakini naomba Mungu mwenyewe akutie nguvu na ampumzishe Ikupa kwa amani na hopeful siku moja utakutana kwa furaha na mpendwa wako Ikupa...

....1 Wakorintho 15: 50-56
51 kwa dakika moja, kufumba na kufumbua, wakati wa parapanda ya mwisho; maana parapanda italia, na wafu watafufuliwa, wasiwe na uharibifu, nasi tutabadilika. 52 Maana sharti huu mwili uharibikao uvae kutokuharibika, nao huu wa kufa uvae kutokufa. 53 Basi huu uharibikao utakapovaa kutokuharibika, na huu wa kufa utakapovaa kutokufa, hapo ndipo litakapokuwa lile neno lililoandikwa, Mauti imemezwa kwa kushinda. 54 Ku wapi, Ewe mauti, kushinda kwako? U wapi, Ewe mauti, uchungu wako? 56 Lakini Mungu na ashukuriwe atupaye kushinda kwa Bwana wetu Yesu Kristo.
 

Eeeh...kumbe tuna graphic designers karibu karibu wanasubiri matukio!
 
Pole sana Michael, Mwenyezi Mungu aendelee kukutia nguvu, amjaalie pumziko la milele mpendwa wetu Ikupa! Amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…