...Pole sana Mwakyusa, hili ni jambo gumu sana hili kulikubali, lakini naomba Mungu mwenyewe akutie nguvu na ampumzishe Ikupa kwa amani na hopeful siku moja utakutana kwa furaha na mpendwa wako Ikupa...
....1 Wakorintho 15: 50-56
51 kwa dakika moja, kufumba na kufumbua, wakati wa parapanda ya mwisho; maana parapanda italia, na wafu watafufuliwa, wasiwe na uharibifu, nasi tutabadilika. 52 Maana sharti huu mwili uharibikao uvae kutokuharibika, nao huu wa kufa uvae kutokufa. 53 Basi huu uharibikao utakapovaa kutokuharibika, na huu wa kufa utakapovaa kutokufa, hapo ndipo litakapokuwa lile neno lililoandikwa, Mauti imemezwa kwa kushinda. 54 Ku wapi, Ewe mauti, kushinda kwako? U wapi, Ewe mauti, uchungu wako? 56 Lakini Mungu na ashukuriwe atupaye kushinda kwa Bwana wetu Yesu Kristo.