T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Kwanini kila kitu tuige nchi zilizoendelea. Malkia Elizabeth alizikwa mazishi private na hayakuwa live?Ni ulimbekeni tena ushamba mkubwa. Kwani walioko mbali hawawezi kuona recorded video? Angalia nchi zilizoendelea zenye watu wastaarabu huu ujinga hawafanyi na mazishi mengi husema ni private matter. Kwetu tumefikia hadi ukatili wa kuingia wodini kuhoji wagonjwa walio taabani eti ni ''waandishi wa habari''. Ujinga.
Kila watu na taratibu zao, Waarabu mtu akifia Thailand na watoto wake wako Afghanistan wanaweza wasiambiwe mwili ukazikwa na wakisia baadae wataridhika kabisa. Baadhi ya Wanigeria wanaweza kaa na mwili zaidi ya mwezi.
Kisa kitu hukipendi na kipya haimaanishi ni ulimbukeni. Hakuna madhara kwa jamii sasa yanini kutaka kisifanyike. Mbona hata wengine wanaweza sema kuiga nchi zilizoendelea ndio ulimbukeni wenyewe