Pumzika kwa amani Mzee Ken

Captain Marvelous

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Posts
14,339
Reaction score
30,439
Poleni sana Wakenya kumpoteza baba wa Second liberation Mzee Kenneth N. Matiba.
Hakika huyu pamoja na wengine waliteswa sana na serikali ya Moi na hakuchoka kupigania kurejeshwa kwa viama vya siasa mapema miaka ya 90.
Huyu mzee alikua mwanasiasa nguli na pia mfanyabiashara mahiri.
Ni role model wa wengi akiwemo Raisi Uhuru Kenyatta n.k
Pole kwa familia na wote walioguswa na msiba huu.
RIP.
 
Apumzike pema peponi, nakumbuka mapambano ya kuleta mfumo wa vyama vingi aliongoza kwa mbele, nilihusika kwenye maandamano na kula kibano cha polisi lakini hatimaye tulishinda.
 
Apumzike pema peponi, nakumbuka mapambano ya kuleta mfumo wa vyama vingi aliongoza kwa mbele, nilihusika kwenye maandamano na kula kibano cha polisi lakini hatimaye tulishinda.
huyu mzee alikua enzi hizo harudi nyuma kwenye hayo mapambano...ni kusema na kufanya...kwa kweli alimtingisha profesa wa politics ipasavyo na pengine bila kumdhibiti kwa njia anazojua Moi ilikua ni noma sana..
 
R.I.P Kenneth Matiba. Atleast he passed on having already forgiven former president Moi and his stooges for what happened to him when he was their political prisoner. It takes a great man to do such a thing.
 
Tuwekee picha yake....r.i.p mpiganaji
 
And joined hands with Jubilee Government๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
And joined hands with Jubilee Government๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
I normaly dont discuss personalities, But their Comming together with Uhuru is only as good as the results, that is
1) End ethnic politics
2)Jail corrupt thieves from both sides
3)Create political stability akin to other nations who are economically doing well like Tanzania
The rest is porojo, siasa za pesa nane. Raila as a person also has shortcomings but currently he is the only reformist withing the kenyan political space..and from history, he has shaken hands with his foes, but he has also unshaken them as well
 
RIP Uncle Ken. I was in school when Matiba was detained. You could feel the somber mood countrywide even among students. The young Turks like Muite and Orengo kept the defiancรฉ spirit burning. In them we saw hope and hope came eventually.
RIP Matiba. No going back to dictatorship!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ