Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Poleni sana Wakenya kumpoteza baba wa Second liberation Mzee Kenneth N. Matiba.
Hakika huyu pamoja na wengine waliteswa sana na serikali ya Moi na hakuchoka kupigania kurejeshwa kwa viama vya siasa mapema miaka ya 90.
Huyu mzee alikua mwanasiasa nguli na pia mfanyabiashara mahiri.
Ni role model wa wengi akiwemo Raisi Uhuru Kenyatta n.k
Pole kwa familia na wote walioguswa na msiba huu.
RIP.