Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
TAAZIA: PUDENCIANA TEMBA
Majonzi.
Inachoma sana moyo.
Ikiwa mtakumbuka miezi michache sana hapa hapa niliwekewa kumbukumbu ya kifo cha Dr. Edith Kitambi nami kwa kuwa sikupata taarifa ya kifo chake nikaandika taazia.
Edith katika picha ni huyo dada kulia kwangu.
Nimesoma kifo cha Pudenciana Temba alipata kuwa Editor Daily News.
Pudenciana ni huyo kulia kwangu kwenye picha.
Pudenciana alikuwa mwanafunzi School of Journalism University of Wales Carfiff.
Picha hii imenitia majonzi sana.
Hawa dada zangu niliishinao kwa wema na ni bahati mbaya sana kuwa tulipoachana Uingereza hatukapata kuonana tena hadi napokea taarifa ya vifo vyao.