TANZIA Pumzika kwa amani Pudenciana Temba

TANZIA Pumzika kwa amani Pudenciana Temba

nilishawahi kukusikia, ulikuwa unajadili namna waislam walivyopigwa mwembechai, namna mnavyoenda kuhiji, haya maneno uliyaongea, sema kwasababu kila binadamu ana madhaifu labda useme tu uliteleza, na wewe unapenda watu wote wakristo kwa waislam, na hautaki makafiri wauawe. ukisema hivyo nitakuelewa sana mzee. usijisahaulishe, sijakujua leo.
Yesu...
Inawezekana kibinadamu umekosea tu na si nia yako kunivunjia heshima yangu.

Sijapata kuandika kuhusu hijja hata mara moja ila nilishiriki katika mradi wa King Abdulaziz University kuandika Encyclopedia ya Hijja na kazi haijachapwa.

Nimeandika kuhusu Mwembachai na ni muhadhara nilizungumza Kenyatta University, Nairobi mwaka wa 2006.

Makala zangu zote ziko hapa unaweza ukazipitia na ukifanya hivyo utaijua lugha yangu.

Mengine niliyoandika nakuwekea hapo chini ili yakusaidie kunielewa:

PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES

The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006

Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.

Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam

Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam

The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam

Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam

Sal Davis, An Autobiography, Readit/Amazon, 2023, Dar es Salaam

In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).

Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).

Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).

Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).

Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993, Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.

Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.

Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

Awards: Several Awards

Visiting Scholar: (2011)

University of Iowa, Iowa City, USA

Northwestern University, Chicago, Illinois, USA

Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.

OTHER COUNTRIES VISITED

Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.











 
Mzee umenifurahisha et "akina mama ni wakuwaangalia watakuangamiza" endelea kutufunulia maktaba mzee hasa Ile ya alhaji shekhe mwinyimbegu dibibi msagala
 
Kwa jinsi unavyponekana tu ktk picha ni wazi hukula hata mmoja hapo.
 
Pole sana Mzee Mohamed Said Kwa kufiwa na Classmate wako.

Ni huzuni kuona mtu ambaye mlisoma naye ama kukua naye akifariki.

Inakupa nafasi ya kutafakari na kuanza kujinyenyekeza Kwa Mola kwani unajua atakayefuata huenda ni wewe 😭

Ila kusema kweli, miaka ya zamani Wadada walikuwa warembo kweli kweli(very natural). Hapo hawaja jichubua ama kuongeza shape Mloganzila 🙌
 
Pole sana Mzee Mohamed Said Kwa kufiwa na Classmate wako.

Ni huzuni kuona mtu ambaye mlisoma naye ama kukua naye akifariki.

Inakupa nafasi ya kutafakari na kuanza kujinyenyekeza Kwa Mola kwani unajua atakayefuata huenda ni wewe 😭

Ila kusema kweli, miaka ya zamani Wadada walikuwa warembo kweli kweli(very natural). Hapo hawaja jichubua ama kuongeza shape Mloganzila 🙌
Wewe mzee kijana wa jf huwaga skuelewagi hapo ingekuwa wewe ungeshachapa woote mkiwa masomoni kwanza
 
Wewe mzee kijana wa jf huwaga skuelewagi hapo ingekuwa wewe ungeshachapa woote mkiwa masomoni kwanza
Hizo nguvu zipo basi Mjukuu 😜

Hapo nimejaribu kuchomekea kidogo ili itusaidie kupunguza majonzi, maana naona wote humu ndani tuna majonzi 🙌
 
Graham
Pole sana Mzee Mohamed Said Kwa kufiwa na Classmate wako.

Ni huzuni kuona mtu ambaye mlisoma naye ama kukua naye akifariki.

Inakupa nafasi ya kutafakari na kuanza kujinyenyekeza Kwa Mola kwani unajua atakayefuata huenda ni wewe 😭

Ila kusema kweli, miaka ya zamani Wadada walikuwa warembo kweli kweli(very natural). Hapo hawaja jichubua ama kuongeza shape Mloganzila 🙌
Graham,
Pudenciana hakuwa classmate.

Yeye alikuwa School of Journalism mimi nilikuwa Department of Maritime Studies and Transport.

Shule yangu na yake zilikuwa mitaa mbalimbali pale mjini.
 
Graham,
Pudenciana hakuwa classmate.

Yeye alikuwa School of Journalism mimi nilikuwa Department of Maritime Studies and Transport.

Shule yangu na yake zilikuwa mitaa mbalimbali pale mjini.
Okay, pole sana Kwa Msiba wake
 
Wanawake kizazi cha sasa ni mwendo Wa kupaka makek up's
ma carolitee kujichubua kuvaa minywele,

ova
 
Back
Top Bottom