Punde Ulaya itajitosheleza kwa nishati, nuclear fussion yaja

Punde Ulaya itajitosheleza kwa nishati, nuclear fussion yaja

Hii ikifanikiwa italeta maendeleo makubwa na mapinduzi ya kiteknolijia makubwa kuliko umeme, intaneti na computer zilivyokuwa (kwa pamoja.)
Mambo yote mazuri tunayofaidi leo yalipatikana in a hard way; kwa jasho, machozi, na damu. Hii vita ni funzo kwa Ulaya na dunia nzima.
 
iyo nishati aiwezi kukubaliwa walishaachana na ayo mambo ya nishati ya Nuclear kitambo sana kwani unadhani west ni wajinga mpaka kukimbilia nishati ya Russia uwo mradi una madhara makubwa kwenye mazingira viwanda tu vilivyopo tayari vimeanza kuwasumbua kwa jinsi vinavyoaribu mazngira mpaka wanakaa na vikao kabisa kujadili ndio itakuwa nuclear fusion?
 
Kwanini hatofanikiwa? Naomba tuongee technically zaidi sio kisiasa.
Kupata material ambayo yataweza kusubstain joto la millions of Kelvin ili nuclear fusion ifanyike sio Jambo dogo Ni ndoto ya tangu 1950 Hadi leo Wanahaha
 
Back
Top Bottom