Punguza mafuta mwilini kwa siku 28

Unaweza kunywa chai bila sukari na mayai ya kuchemsha, mihogo au viazi vitamu. Unapiga maji baada ya kula
Matumizi ya maji baada ya kula umeitoa wapi? Hujui kama maji yanaenda kugandisha na kutengeneza mafuta, unapunguza tatizo unaongeza tatizo? Huwa mnafuata ushauri wa kitaalamu kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matumizi ya maji baada ya kula umeitoa wapi? Hujui kama maji yanaenda kugandisha na kutengeneza mafuta, unapunguza tatizo unaongeza tatizo? Huwa mnafuata ushauri wa kitaalamu kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukiwa active body heat inaregulate system. Tusubiri walioingia darasani watupe ushauri. Mimi nilisoma chini ya mwembe
 
Unaweza kunywa chai bila sukari na mayai ya kuchemsha, mihogo au viazi vitamu. Unapiga maji baada ya kula

Hio ndo njia sahihi na ya uhakika.

Kila chakula au matunda yana sukari ya asili kama vile ndizi zina sukari yake.

Ukiacha sukari, chakula kama wali, viazi na mikate na vingine vya aina hio basi utaona matokeo mazuri.

Asali ni nzuri lakini ukiitumia peke yake kwenye kijiko cha chai kila asubuhi kisha kutia maji ya uvuguvugu, lakini si kutia asali kwenye chai au maji na kisha kunywa.

Mafuta na takataka zingine zitaondoka zenywe mwili kwa njia ya mkojo na haja kubwa.

Pia katikati waweza kutumia matunda khasa Apples ambayo naturally yana fanya detoxing mwilini.

Bila kusahau utakuwa unapiga sana mizinga na makombora ya masafa mafupi.

Lakini ukiwa determined utafanikiwa ndani ya siku 28.

Usisahau mazoezi ya kukimbia au kutembea dakika 30 hadi saa moja kila siku.
 
Kuna kipindi niliinvert formula inayofanya kazi na ilifanya kazi kweli. My motto was “everything in half except water na usingizi”. Nilikata kila nilichokuwa ninatumia by half ya normal size: wali nusu, chapati 1 badala ya 2, sukari kijiko kimoja badala ya vitatu, maji glass 8 badala ya nne, bia nilipunguza sana (sikuacha) japo most cases ilikuwa weekend tu etc.

Zoezi sikufanya zaidi ya press up chache kila asubuhi kabla ya kwenda kuoga. Nilikata kama kilo 10 hivi in about 8 weeks. So, moderation is key here.
 
Mbona mimi nimekata ila imenigomea. Nimeacha kula 3 meals kwa siku nakula Mara moja saa kumi na moja au kumi na mbili. Nakunywa maji not less than 2litres ila sipungui. Beer zenyewe nakunywa Friday tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…