Punguza mafuta mwilini kwa siku 28

Punguza mafuta mwilini kwa siku 28

Mkuu pia kama una muda jaribu kuogelea. Mimi ilinisaidia sana kupunguza uzito.Kuacha sukari kwenye chai,kuogelea na kupunguza kipimo cha chakula kimefanya nipungue kilo 10.
Imebidi ninunue suruali mpya na kupunguza za zamani.
 
Back
Top Bottom