Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mwanaume unahatarisha afya ya uume wako kwa kuusugua mshipa unafanya mashine inyunyuke.!
alafu wali wenyewe wa nazi wenye iliki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na Heineken. Mimi na wewe tutapungua kwa kudra za mwenyezi Mungu. Mimi ninavyopenda wali jamaniNnavyopenda vitumbua sasa na keki duuh,..
😂😂😂😂mm jamanii sipungui mpaka kristo arudi Heineken,wali,kitimoto,nyama choma asubuuutuuu halafu nikiwa na stress ndio uuwwiii..kilo 800[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na Heineken. Mimi na wewe tutapungua kwa kudra za mwenyezi Mungu. Mimi ninavyopenda wali jamani
Sent using Jamii Forums mobile app