Punguza marafiki feki

Punguza marafiki feki

Punguzaaa wooooteee ila usiwapunguze Hawa
1: Wanaokushauri kupiga Punyeto
2:Wanaokwambia Style mpya ya Punyeto

Mwisho kabisa muhimu Sana

USIWAPUNGUZE WAZAZI ✔️✔️✔️
 
Sinaga marafiki tajwa hapo...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Cc: mahondaw
 
Punguza marafiki ambao ukiwaambia unataka kufanya kitu wanakujibu "utawezaaa?" Punguzaaaa!

Punguza marafiki ambao kutwa wanataka mchafue meza bar. Punguzaaaa!

Punguza marafiki ambao umeongea nao kitu mkiwa wawili mwisho wa siku unakikuta kimeenea sehemu nyingine. Punguzaaaa!

Punguza marafiki ambao wako right kila siku wenyewe hawataki kuambiwa wamekosea. Punguzaaaa!

Punguza marafiki ambao wakija kwako wao urafiki unahamia kwa mumeo au mkeo aliyekaa sebuleni wakati wewe kakuacha nje. Punguzaaaa!

Punguza marafiki ambao wanakuwa na urafiki na maadui zako kwa ukaribu zaidi. Punguzaaaa!

Punguza marafiki wa kwenye raha tu ukiwa na shida unajikuta peke yako. Punguzaaaa!

Punguza marafiki wanaokusifu huku wakijua umekosea. Punguzaaaa!

Punguza marafiki ambao kila ukiwapigia simu na wao utawasikia yaani nilitaka kukupigia sasa hivi. Punguzaaaa!

PUNGUZA MIZIGO ISIYOKUWA NA UMUHIMU
Mkuu kimekukumba nini?
 
Haya uliyoandika ni maneno tu.

Kivitendo ni tofauti, marafiki wote kuna bond inayowafanya muwe marafiki. Mfano mtu anajua udhaifu wako halafu anaubeba yeye lazima awe rafiki yako (mfano kuwadi,dalali,mtu wa connection mbalimbali ...n.k. unajikuta tu kuna mambo hayaendi bila yeye sasa unaanzaje kumpiga chini?)

Ila wanaoweza kupunguza wafanye hivyo. Ni ushauri mzuri umeutoa kwa maslahi mapana ya kulinda kipato.
 
Na kama wenzako wanakutawanya miguu huwezi fika mbali zaidi...
ukiona wenzako wanakutawanya miguu na wao wanakuona wewe unatawanya zaidi, kuwa mwangalifu ukiona mabaya ya mwenzako!
 
Kwan kuna njia ngapi mkuu?
Kuna njai kuu saba nne ya kwanza kutumia mikono yako.

ya pili kupigishwa nyeto na nyeti za jinsia tofauti,

ya tatu Picha ya uchi ya jinsia tofauti.

ya nne kuvuta hisia kwa mupenzi anae kupa vizuri au kaumbika vizuri.

Ya tano Midomo.

sita Malizia mwenyewe sasa njia nimekupa
 
Duhh!. Hatar kabisaa
 
Punguza marafiki ambao ukiwaambia unataka kufanya kitu wanakujibu "utawezaaa?" Punguzaaaa!

Punguza marafiki ambao kutwa wanataka mchafue meza bar. Punguzaaaa!

Punguza marafiki ambao umeongea nao kitu mkiwa wawili mwisho wa siku unakikuta kimeenea sehemu nyingine. Punguzaaaa!

Punguza marafiki ambao wako right kila siku wenyewe hawataki kuambiwa wamekosea. Punguzaaaa!

Punguza marafiki ambao wakija kwako wao urafiki unahamia kwa mumeo au mkeo aliyekaa sebuleni wakati wewe kakuacha nje. Punguzaaaa!

Punguza marafiki ambao wanakuwa na urafiki na maadui zako kwa ukaribu zaidi. Punguzaaaa!

Punguza marafiki wa kwenye raha tu ukiwa na shida unajikuta peke yako. Punguzaaaa!

Punguza marafiki wanaokusifu huku wakijua umekosea. Punguzaaaa!

Punguza marafiki ambao kila ukiwapigia simu na wao utawasikia yaani nilitaka kukupigia sasa hivi. Punguzaaaa!

PUNGUZA MIZIGO ISIYOKUWA NA UMUHIMU
Ktk wote ambae hafai kabisa na ni bonge la snitch ni uyo unaempigia anakuambia nilitaka kukupigia sasa hv mm nikiwa na rafik wa hv namm nakuwa snitch sina time nae
 
Kivipi bro
Binadamu wengi siyo wote! wanatabia ya kuangalia mabaya ya wenzao! ni wachache sana wanao jiuliza kuwa hunda na mimi niko hivi ama zaidi ya huyu naye muhukumu! kila mtu ana tabia mbaya!!

Kwa nini wana tabia mbaya??
Tatizo ni wewe ulie na mtazamo hasi kwa mwenzio!! hutaki walivo!! unataka wawe km ulivo wewe, wakushauri wewe, wakusaidie wewe, wakuhurumie wewe! wajirushe unavotaka, yaani Unadhani akufanyie kitu unavodhani ni sahihi kitu hicho hakipo!!!

kumbuka Adui wa mtu ni mtu mwenyewe! hao unaoona ni wabaya leo kuna mazuri pia wanakufanyia, ?

mfano watakuchangia, Kipa imara, ufunguzi wa nyumba mpya, ukipata msiba japo siyo wote watakuchangia! haohao watakupa michongo ya hela ili mkanywe bia, kazi yako wewe panga bajeti ya bia na inayo baki yako ya maendeleo! ukitoa yote ni wewe siyo wao!!! sasa wakimbie uone moto!

wajasilia mali wanasema Watu ni mali, nyie mnakuja na swaga zenu hapa. kama ni walevi wafungulie Bar, ule hela yao! Dukani kwako atakuja nani na uchoyo wako huo? hizi ni tabia za jiwe kawaambukiza. jiulize Jiwe kaja Raisi nani kumpa kampani ya kuapishwa?
 
Mkuu acha hizo mimi sio wa kuambukizwa na jiwe
 
Si Rais wenu, mie hata kura sikujiandikisha, ilikuwa nipige kura kwa mara ya kwanza mwaka huu, lkn nilivo ona upepo nkajua ujinga huuu
 
Back
Top Bottom