Punguza Mawazo, Ongeza ubunifu

Punguza Mawazo, Ongeza ubunifu

realMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
3,925
Reaction score
8,853
Hii inamaanisha kuwa kuna mtu ana kitu yani akikifanyia kazi anaweza kufika mbali lakini amekaa nacho ndani anawaza.

Utawaza hadi lini na umekaa ni fursa ndani? Unamsubiri nani aje akutoe huko uliko akuonyeshe njia?

Unachelewa changamka! Unataka kuwa mfanyabiashara mkubwa leoleo?
Ni kitu ambacho hakiwezekani lazima ufanye ubunifu.

Huwezi kuwa na mtaji mkubwa leoleo lazima ujitume, uvumilie shida na mambo kama hayo.

Acha kuwaza amua leo ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom