SACO
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 2,623
- 3,397
Wanawake Punguzeni kula chakula bila mpangilio na fanyeni mazoezi. Mtalalamika kutoolewa na una mwili kama pipa na hela huna. Angalau ungekuwa na hela ungevipata hivi vimarioo vya Dar. Badilikeni basi sisi wanaume wenye hela we are after shape, bila shape utatongoza wanaume...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app