Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Ngoja nimalizie hiki kinywaji... NakurudiaMbona naeleweka vizuri tu.
Tena bora wanawake tunaweza kusingizia viungo vya uzazi sasa wanaume kuna nini cha ziada? Au ni usaa umejaa kwa tumbo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nimalizie hiki kinywaji... NakurudiaMbona naeleweka vizuri tu.
Tena bora wanawake tunaweza kusingizia viungo vya uzazi sasa wanaume kuna nini cha ziada? Au ni usaa umejaa kwa tumbo?
Mbona naeleweka vizuri tu.
Tena bora wanawake tunaweza kusingizia viungo vya uzazi sasa wanaume kuna nini cha ziada? Au ni usaa umejaa kwa tumbo?
Wanawake Punguzeni kula chakula bila mpangilio na fanyeni mazoezi. Mtalalamika kutoolewa na una mwili kama pipa na hela huna. Angalau ungekuwa na hela ungevipata hivi vimarioo vya Dar. Badilikeni basi sisi wanaume wenye hela we are after shape, bila shape utatongoza wanaume...
Sent using Jamii Forums mobile app
vipi na wewe ambaye sura haieleweki na tako huna?Unakuta mwanaume ana mtumbo kama furushi na hela hana, na gari hana.
Sent using Jamii Forums mobile app