Punguzeni kula chakula bila mpangilio na fanyeni mazoezi

Kwetu sisi ni kama fashion vitambi vyetu Vimejaa

Riba
Mali za zuluma
Uroho na vyakula vya kudoea
Ofa
Mikopo
Madawa ya waganga hasa limbwata
Rushwa
Nk


Mtuombee kwakwelii
Mbona naeleweka vizuri tu.
Tena bora wanawake tunaweza kusingizia viungo vya uzazi sasa wanaume kuna nini cha ziada? Au ni usaa umejaa kwa tumbo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unapanga kuoa shape?
Eti tako sijui hips?.
Utayumhishwa maisha yako yote.
Wanawake wa hivi wengi zero brain.
Bora uchukue mwanamke mwenye akili,hao wengine ni wavivu wasio na future kazi yao kujivunia shape.
Zinduka mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo unavizia wanawake wenye pesa huku wana vitambi? Tafuta pesa vitu
vingine huja automatically achana na mambo ya kishamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…