Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 428
- 766
Kuna yule jamaa humu anajiita anonymous kwa siku anaandika nyuzi zaidi ya 10 na zote analeta kero akiilalamikia serikali wao kama watumishiJukwaa hili limejaa kero na malalamiko ya waajiriwa. Mara huyu hajalipwa fedha za kujikumu halmshauri ya itigi ,mara huyu halmashauri ya mpimbwe mkurugenzi anakula mke wake, nyie waajiriwa ebu punguzeni malalamiko na kelele,mlikubali wenywe kuwa watumwa ! MSITUPIGIE KELELE
Acha wanyooshwe, hawa huwa wanaona kama vile wako safe, changamoto zinazowakumba entrepreneurs huwa wanafikiri hazitawafikiaNi sawa ila changamoto ni ukomo wa utatuzi wa malalamiko utaishia kwa waajiriwa pekee au hadi wapigakura? Yale ya kama hutaki hama nchi?
Hahaha, Pesa ujue tamu ni vile tu haupo jikoni.Acha wanyooshwe, hawa huwa wanaona kama vile wako safe, changamoto zinazowakumba entrepreneurs huwa wanafikiri hazitawafikia
Walivyo wavivu sasa kaziniJukwaa hili limejaa kero na malalamiko ya waajiriwa. Mara huyu hajalipwa fedha za kujikumu halmshauri ya itigi ,mara huyu halmashauri ya mpimbwe mkurugenzi anakula mke wake, nyie waajiriwa ebu punguzeni malalamiko na kelele,mlikubali wenywe kuwa watumwa ! MSITUPIGIE KELELE
Mimi sio Mwalimu
Hahaha bro unajua maana ya anonymous kweliKuna yule jamaa humu anajiita anonymous kwa siku anaandika nyuzi zaidi ya 10 na zote analeta kero akiilalamikia serikali wao kama watumishi
Aisee kama wamechoka ni bora waache kazi tu maana sio kwa kero zile
Najua kaka, kwani vipi?Hahaha bro unajua maana ya anonymous kweli